Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.

Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.

Rwanda haina shida na samahani na serikali ya ivi
 


this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE
Hii JF siku hizi imevamiwa, zamani hii comment yako ingeambatana na facts zinazoonyesha upuuzi wa wenje na kupendekeza nini kifanyike, ni bora kuwa msomaji kuliko kuwa mchangiaji kama njiwa
 
Last edited by a moderator:
Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.

Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.

Kweli nyani halioni KUNDULE,
Kagame mnamlazimisha apatane na WAPINZANI,
Nyie kwenu MTWARA,mnapeleka JESHI hilohilo kuua RAIA wasiokua hata na MANATI,
Mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara?
SHAME ON YOU,
F..CKING YOU ALL,
 

Natafuta kitufe cha like sikioni simu yangu inawalakini
 
Kweli nyani halioni KUNDULE,
Kagame mnamlazimisha apatane na WAPINZANI,
Nyie kwenu MTWARA,mnapeleka JESHI hilohilo kuua RAIA wasiokua hata na MANATI,
Mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara?
SHAME ON YOU,
F..CKING YOU ALL,

pole sana hujui ulisemalo.
 
Ubabe wa kijinga huu.Mtwara imewashinda mnachokoza majirani.
Hii kauli ifutwe maramoja.
 
Kweli nyani halioni KUNDULE,
Kagame mnamlazimisha apatane na WAPINZANI,
Nyie kwenu MTWARA,mnapeleka JESHI hilohilo kuua RAIA wasiokua hata na MANATI,
Mbona nyie hamjakaa chini na kuzungumza na wana mtwara?
SHAME ON YOU,
F..CKING YOU ALL,

Wewe ---- sana Acha kufikiri kwa kutumia makalio uwz acha kuunga mkono jambo zuri kwa maslahi ya nchi yangu uyo mse..ge kagame ndo nani tena bora ashike adab yke
 

Umeongea utumbo mtupu! Tanzania ni nchi Tajiri kuliko zote Africa Mashariki kwa Rasilimali (watu na vitu)!. Ni nchi ya pili kwa ukubwa wa pato la taifa ikiwa karibu kabisa na nchi ya kwanza (GDP tanzania $74 billion, Kenya $76 billion, Uganda $50 billion, Rwanda $17 billion na Burundi $148 million. Ukubwa wa Tanzania ni zaidi ya ukubwa wa jumla wa nchi zote 4 zilizobazi za EAC. Tanzania ndio nchi ya kwanza East Africa yenye jeshi kubwa na la kisasa na lililo organised. source: CIA world Factbook). Zaidi ya wanyarwanda million 1 tunawapa hifadhi tanzania na wanafunzi zaidi ya 500 wa kinyarwanda wanasoma katika vyuo vikuu vya tanzania. Bila kusahau kwamba Rwanda inategemea imports na exports zake kuzipitisha bandari za Tanzania ukizingatia tayari ina ugomvi na Kenya (baada ya kuituhumu kuhifadhi maadui zake kama kina Kabuga). Kumbuka pia kwamba wataalam wa fani mbali mbali wanaofanya kazi Rwanda akiwemo waziri mmoja ni watanzania.

Nawashauri sana Wanyarwanda kujiangalia vizuri, kuendelea kumtetea kagame ni sawa na kulea Kansa. Anapenda ugomvi sana. Mpaka sasa ana ugomvi na Kenya, Uganda, South Africa, Congo na Burundi. Mtaishije bila majirani?
 
Soma kwa Makini Post yangu utaelewa.Kifupi,Tujifunze kuwa na "VISION" kama ya Serikali ya Rwanda.

Vision bila Strategy ni upumbavu! Unakuaje na vision ya kuwa na maendeleo bila strategy ya kuyalinda? Bila amani ya kueleweka kuna maendeleo hapo? Kagame ni janga kwa Rwanda
 

Mkuu si kila anayeongea/andika kiswahili ni Mtanzania. Kumbuka wamekaa nchini kwetu kwenye makambi ya wakimbizi kwa zaidi ya miaka 10 na wengine wamezamia Tanzania moja kwa moja. Usisumbuke na watu wa muundo huo wewe wapuuze tu lakini msimamo wa nchi yetu utabaki palepale kuwa Wanyarwanda wamalize matatizo yao kwa njia ya mazungumzo full stop, sasa kauli ya busara kama hiyo leo hii ionekane ni tusi mpaka tuombe radhi? (What a fu.k is this).

Ukitaka kujua watanzania halisi wewe jiulize tu kwanini hata vyama vya upinzani hakuna hata kimoja kilichomkosoa kikwete juu ya kauli hii? Simply ni kwasababu wote wanaiunga mkono kauli hiyo, hawa wanaopiga kelele humu na fake ID's ni watutsi tu wala wasikupe shida, na hivi wao wanaamini kuwa Jamiiforums.com ni Investigative Agency basi ndiyo wanajaza pumba zao humu halafu mwisho wa siku wanazinukuu kwenye vyombo vya habari vya kwao kuiponda Tanzania. Hawa jamaa fisi kweli!
 

Maelezo yako yanafaa kwa utangulizi wa habari lakini hayana uchambuzi wa kina.Tanzania ni Nchi yenye Raslimali nyingi sana lakini isiyokuwa na viongozi wabunifu.Hii ndio maana pamoja na Raslimali chache walizonazo Kenya,bado inatuzidi kwa GDP na Tanzania tumeendelea kuwa ombaomba sawa na Somalia na Afghanistani.Kuhusu ukubwa wa Nchi na Wingi wa Watu nacho sio kigezo cha kuidharau Rwanda.Israel yenye watu takribani milioni 10 inaiumiza kichwa dunia ya kiarabu yenye watu takribani milion 150.Kuwa na Jeshi kubwa na la kisasa nayo si tija.Kinachotakiwa ni jinsi gani Jeshi linavyoweza kufanya "deployment".Miaka ya 70,pamoja na Ukubwa na Usasa wake,Jeshi la Marekani liliambulia hasara kubwa lilipojaribu kuivamia Nchi Ndogo ya Vietnam.
 
Bwana Membe asishangae rwanda wakimtimua balozi wa Tz huko kwao.Unajua JK amekuwa kama vile hajielewi......Sasa hao jama wazungumze nini?Walipigana vita kagame akashinda wakashindwa swala liko clear hao ni waasi.Au JK anamuonea kagame wivu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe nawe jenga hoja sawa.Kagame ana msimamo wala hacheki na watu hovyohovyo.Huyu wa kwetu anabaki kujiingiza kwenye mambo ya watu tu.Akae kimya hatumlipi kupiga soga na vijembe.Anapaswa kufuta kauli.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

wewe ni said bagaile..hamisi kingwangala sio jina lako...
 

Nitajie kitendo au maneno kutoka Tanzania vinavyoonesha kuidharau Rwanda! umesoma hotuba ya Kikwete? kwanza Kwanini Rwanda? Uganda na Congo zote zimeshauliwa kuongea na wabaya wao, hakuna anaelalamika kudharauliwa!, si wendawazimu huo unaowasumbua Rwanda? Yote niliyoandika kabla ilikua nikukuweka sawa we ambae ni mbu mbu mbu kuhusu uwezo wa Tanzania uliekua unajaribu kupotosha jamii. Tena usiendelee kuipotosha jamii kwa kudai kwamba Tanzania ni omba omba. Tanzania inakopa kwa maendeleo na kwa taarifa yako kati ya nchi zinazoongoza kwa kudaiwa madeni makubwa duniani ni Marekani na Japan!
 
Wewe nawe jenga hoja sawa.Kagame ana msimamo wala hacheki na watu hovyohovyo.Huyu wa kwetu anabaki kujiingiza kwenye mambo ya watu tu.Akae kimya hatumlipi kupiga soga na vijembe.Anapaswa kufuta kauli.


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hoja ipi unataka nijenge vizuri? Hapo nilitaka kuwaweka sawa mnaoidharau Tanzania bila kujua ina uwezo gani na ina mchango gani kwa Rwanda. Kama umenisoma vizuri hakuna sehemu niliyomtaja Kikwete kwasababu natambua tuhuma zote zinazotoka nje ni kwa TAIFA na si PERSONAL hata kama zitaandikwa kwa jina la Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…