umenichekesha , na Dr. akiamua kutogombea je????
Mkuu! labda nikusaidie lugha, stereotype is stereotype, there is no "kijinga". please don't be egocentrism
I thought Mangungo wa Msovero's ghost is no more...Sasa Mzimu wa Mangungo wa Msovero kumbe umezaliwa ndani ya Membe na wenzake.
hivi ni membe au mimba?labda Membe ana madhara ya dawa feki
Foreign affairs is amongst the Union Matters (Constitution of URT, 1977 1st Schedule), and the person in charge of them is Membe! He was right, huyu jamaa wa SMZ hana locus stand in the presence of the Minister for Foreign Affairs for URT.This is where people go wrong! Habari za kuunga unga na zisizo na mashiko. Kila mtu mwenye akili timamu anajua kwamba hakuna nasaba kati ya Membe na Kikwete na kila mtu aliingia kwenye siasa in his own right. Suala la kufungiwa Mwanahalisi, ambalo hata Kubenea mwenyewe amelitolea ufafanuzi. Lakini watu wanasahau kwamba leo hii wanaojifanya kumtetea Kubenea ndiyo hao hao waliomdhuru na kumfanya apoteze uoni wake. TISS ni taasisi ambayo ni ya utumishi wa umma kama zilivyo idara na wizara nyingine na si dhambi kuitumikia nchi katika nafasi yoyote ya utumishi. ingekuwa dhambi basi hata Mrema, Marando na wengineo wasingekuwa na ufuasi mkubwa katika nyanja ya siasa.
Sasa tujiulize kama Zanzibar kwa status yake kama sehemu ya Muungano ana mamlaka ya kuingia kwenye makubaliano yoyote na taifa lingine. Masuala ya uhusiano wa kimataifa ni suala la Muungano ambalo liko chini ya waizara anayoiongoza Membe. Sasa kosa la Membe hapo ni nini? It would make a difference if Zanzibar had a status of state which is not the case here. Au kungekuwa na mantiki kama mkataba huo ni mbaya kwa nchi yetu na kwa kusaini basi alikuwa anaiiingiza nchi katika matatizo. Lakini kwa wanaofahamu, hakukua na signing ya makubaliano yoyote katika ziara ya China. Tafuteni issue nyingine, hii haina mashiko!