Membe asaini mkataba bila kuusoma nchini China, mwakilishi aja juu, rais Kikwete amtetea!

sasa mnachoshangaa nini? hii serikali hakuna kitu kabisa...nafikiri kikwete ameweka history katika tanzania kua serikali yake ni the most incompetent serikali in the history of tanzania and i would go as far as to say ni the most incompentent government in east africa.
 
Siku zote huwa sina imani kabisa na Membe

Membe is not presidential material, he is just forcing himself to fit the role; hii yote ni kwasababu ya mkweree who has cheapened the presidency as an institution of intergrity!!
 
Jk mwenyewe alisaini mswaada wa sheria bila kuusoma mpaka akashituliwa na Dr slaa ndio ukarudishwa bungeni tena.
 
Tatizo lile lile kuzungumzia watu badala ya mfumo.....unadhani asingekuwa Membe au huyo dada angefanya tofauti? kwanini utegemee utashi wa mtu na sio mfumo?. Badala ya kukomaa na mtu (Membe) pigania mfumo mzuri ambao by virtue of your position ulitakiwe ndio wewe usaini, na kwamba akisaini mtu mwingine muswada/mkataba unakuwa void.
Good thinking chakarikamkopo
 
nisaidieni wana jf hivi hili group la mawaziri vilazi kikwete kalitoa wapi? nijambo lakuskitisha sana kuona kuona tuna mawaziri wa aina hii huku tukitegemea kuendelea hata ingekuwa kwa nguvu za aina gani hatuwezi
 
Mkuu kumbe unachukizwa kila napojibu post za Membe? For sure nitakuwa najibu post za Membe kila napoziona, so more to come.

Naona sasa unakuja na nyepesi nyingine: Ati Membe aliukana uraia, duh! Sasa hiyo ndio karata ya kuitumia kumaliza kisiasa, jenga hoja hii mahakamani na Membe atatoweka kwenye ulingo wa siasa.

Kama kuna ushahidi wakutosha anza thread ya Membe kuukana uraia na watu JF tutaidadavua. Kuwa mzalendo, taja maovu ya viongozi usifiche.
 
Tanzania ikitaka kuendelea isichague marais wake kutoka 'mawaziri wa mambo ya nje'. Ni ujimga usio kifani kuendeleza uozo na uvundo ambao uliachwa na Mkapa pamoja na Mwinyi.
 
Hii inawezekana. Au wamkamate ashitakiwe hukohuko kwa sheria za huko China?, ila hii habari usishangae ikawa source yake ni kambi ya Lowassa. Mtandao-at-work. Kisa? Urais 2015.
 
Nimefuatilia uzi huu mpaka sasa sijaona mchango mahsusi kuhusu hoja yenyewe. Nilidhani mjadala ungejikita katika kujadili uhalali wa Mhe.Membe kufanya hivyo maana sababu si alimpatia? Sasa sijui hapa tunajadili nini zaidi ya kumjadili mtu.

Nataka mtu aje aseme hapa kwa mujibu wa.Membe hakuwa sahihi kufanya hivyo otherwise naona ni extension ya chuki, na makundi ya urais. Give the guy a break.

Mi naona wewe ndo hukuelewa the concept ya yule waziri wa ZNZ kulalamika. It seems wakati wamefunga safari yakuelekea China walijua kabisa wanaenda kusaini mkataba. Na katika mkataba huo kuna sehemu Membe alikuwa ana sign na sehemu ya ku sign ZNZ ( regardless the mandate and chain of power) kutokana na maelezo yake it seems walikubaliana hivyo and everybody knew that, sasa baadae akashangaa Membe kasaini sehemu zote ya kwake na sehemu ya ZNZ.

Ilivyofika mda wa kusign anaona Membe keshaanguka sign akabaki macho yanamtoka, kumuuliza inakuwaje huna instrement( in his own words) ndo mana akaenda kulalamika kwa Mr.President, na JK akamwombea msamaha. Sasa wewe unasama. Hujaona kosa hapo????
 
mikataba mingi ya hii nchi watakuwa wame sign bila kuisoma,huo mmoja tu ndo umeshtukiwa
viongozi wenyewe hawako makini kila mtu anatafuta pakulia!!

Kama sio political entreprenuership basi ni uvivu wa kisoma vitu virefu.nadhani sio kitu cha ajabu kwasababu watanzania/waafrika kwa ujumla hatuna utamaduni wa kujisomea..."if you want to hide something from africans put it into writings,they dont read...Ali Mazrui"hii ni aibu kubwa sana kama kiongozi mkubwa kama Membe anaweza kusaini mkataba bila kuusoma.tuomboleze jamani huu ni MSIBA.
 
Kila siku nasemaga wakuu! hiI TZ ni aibu, yaani Mungu anatulinda kwa kweli. Viongozi wetu karibu wote ni vilaza wa haja! oohh!
 
Kama membe hakukosea kwanini JK alimuombea msamaha??

Kama umesoma philosophy na psychology utajuwa kwamba jibu la Membe juu ya kwanini alisaini mkataba ndio lilikuwa jibu sahihi na la kisheria ambalo hata JK alilijuwa. Membe hakuomba radhi katika jibu lake. Alichofanya JK ni kuzima moto kwa kutumia pyschology, na ndio maana hata kiongozi wa Zanzibar anasikika akisema kwamba Membe alifanya makusudi.

Naamini JK na Membe walijuwa kwamba Membe ndiye aliyekwenda kusaini, ila kiongozi wa Zanzibar akasahau au akashindwa kuelewa kwamba katika mikataba inayohusu muungano yeye ni bwa mdogo. Alichofanya JK ni kutumia saikolojia, na ndio busara za JK ambazo wakati mwingine zinazidi mpaka na kumwangusha.
 
Mungu wangu! halafu huyu ndie anataka tumkabidhi nchi yetu nzuri Tanzania tuliyopewa na Mungu
kwa upendeleo!!!!!! Si atatuuza na watoto wetu na wajukuu."Ee Mungu tuepushe na balaa la watu wa
aina hii,hata wakitangulia mbele ya haki ni mapenzi yako yatimizwe"

Mmmh, kama vile yale mambo ya Chief Mangungo! Bora hata Chief M, hakujua kusoma na kuandika, na huyu Mheshimiwa sana inakuwaje!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom