hili nalo neno. chezea LOWASSA weyeJapo Mie siyo Fan wa Membe (Mbopo), suala hili linakilemba cha siasa za kuelekea 2015 na mlalamikaji anajaribu kujisogeza karibu na Kambi ya Lowassa toka upande wa pili wa Muungano. I like Lowassa ..kapanga vema kete zake katika majukwaa na matukio mbalimbali. Ni bandika bandua!
Nauliza tu kwa kutaka kujua; nje ya Nchi Mawaziri huwa wanasaini Miswada (Bills) au Mikataba (Contracts) na Makubaliano (MoU)?
sio membe tu viongozi wengi wa serekali, utaona wanahubiri muungano kinafiki lkn kiukweli hawautaki, yaani wanahubiri wasichokiamini ni unafiki wa hali ya juu kabisa.Siku zote huwa sina imani kabisa na Membe
Malalamiko ya watanzania kwamba viongozi wanasaini mikataba bila kusoma sasa yamethibitishwa wazi na mwakilishi wa Dimbani zanzibar Bw.Mwinyi Haji Makame(CCM) kwa Bw. Bernad Membe ktk kile kuonyesha kuwa careless kwa kufikia kusaini mkataba ambao hakutakiwa kusaini ambapo mwakilishi anadai kwenye video hiyo iliyoko ndani ya youtube.
Mwakilishi huyo alipokuja juu mbele ya JK kwamba kwanini waziri wake amesaini Mkataba ambao si wake? JK kama kawaida yake ya kutetea uzembe alimuombea amsamehe kwamba hayo ni makosa ya kibinadamu tu.
Kwahiyo watanzania kilio chenu cha miaka mingi cha kulalamikia mikataba kusainiwa bila kusomwa sasa kimedhibitishwa wazi na Bw. Mwinyi kuwa viongozi ni watu wasio na huruma na nchi hii tunakupandisha ndege hadi China tunakulipa Posho za kukatana na shoka halafu still hufanyi kazi yako tunayokulipa nafikiri baada ya kuangalia video wale wote mliokuwa mnawaza labda Bw. Membe anafaa kuwa rais wa nchi hii mtabadili mawazo yenu. waandishi tusaidieni kumuuliza ilikuwaje asaini mkataba bila kusoma kwanza anachosaini??
Angalia video hii:
Kwa wasio elewa haya washauzika na fitna za Wazanzibari hapa!Japo Mie siyo Fan wa Membe (Mbopo), suala hili linakilemba cha siasa za kuelekea 2015 na mlalamikaji anajaribu kujisogeza karibu na Kambi ya Lowassa toka upande wa pili wa Muungano. I like Lowassa ..kapanga vema kete zake katika majukwaa na matukio mbalimbali. Ni bandika bandua!
Nauliza tu kwa kutaka kujua; nje ya Nchi Mawaziri huwa wanasaini Miswada (Bills) au Mikataba (Contracts) na Makubaliano (MoU)?
lakini Membe kasema ukweli mambo ya mambo ya nje yako chini ya serikali ya Muungano! Kikwete ndo analeta vurugu hizi na kutaka kuwaridhisha watu bila kufuata katiba!header inapotosha, video haisemi Membe hakujua ana saini nini, Mwakilishi amesema Membe alifanya kusudi na Membe alikiri kafanya kusudi pale alipomwambia
kwamba yeye Mzanzibar asingeweza ku sign mkataba kwa vile "hana instruments."
Sasa mkuu inakuaje uanze na "it seems" alafu utuaminishe unachosema kuwa ndio fact wakati hata wewe umeanza kukieleza kwa Mashaka?. Huoni kuna kosa hapo?
Nimetumia "it seems" kwasababu hayo maneno ya kwanza ni ya kwangu. Nikijaribu kutengeneza posibility. Because wote walikuwa kwenye msafara wa Raisi ila for sure sina uakika kama walifunga wote safari kwenda china au walikutana juu kwa juu. Bt for fact ni kwamba "THEY ALL KNEW KWAMBA WANAENDA KUSIGN MKATABA na KULIKUWA NA SEHEMU KWA AJILI YA MEMBE NA SEHEMU IMEANDALIWA KWA AJILI YA ZNZ KUSIGN" nimeandika kwa bold ili usome vizuri.
Sasa Membe akasign kote bila hata ya kumtarifu. Wewe sasa huoni kosa hapo???
Nilisema mwanzo, aliyevunja record ya kuharibu mambo sio Mulugo (katika thread ya mdau waziri alipoainisha Tanzania inatokana na Visiwa vya pemba na ZimbabweSiku zote huwa sina imani kabisa na Membe
ni kweli bro na waziri makame alipomuuliza membe mbona umesign mkataba sio wako. Membe akamjibu wewe huna tools. Mpaka hapo wazanzibari wakisema hawautaki tena muungano jee wanakosea?