Membe asaini mkataba bila kuusoma nchini China, mwakilishi aja juu, rais Kikwete amtetea!

I thought Mangungo wa Msovero's ghost is no more...Sasa Mzimu wa Mangungo wa Msovero kumbe umezaliwa ndani ya Membe na wenzake.
 
kwani huyu membe ni nani hasa?...mie simjui...mnasema anataka kugombea u-rais wa nchi hii?..hii ya ahadi ya tanzania?..hii aliyoiongoza nyerere na kuiletea heshima duniani kote?..

hiii inayo-onekana kama mtoto yatima lakini anadhulumiwa kila alichonacho kwa nduguze wa damu kumfanyia hila na fitna mali zake ziishe kirahisi....

MEMBE KWA HAYA YALIYOJIRI KWENYE VIDEO HII SIAMINI KAMA ANASTAHILI HATA ROBO ya kuwa rais wa nchi hii tukufu iliyolaaniwa katika suala la viongozi.
 
Mkuu! labda nikusaidie lugha, stereotype is stereotype, there is no "kijinga". please don't be egocentrism

Nadhani wewe ndio unatakiwa usaidiwe lugha. Sio kweli, zipo stereotypes ambazo niza kijinga, hivi kwa mfano, "kuhusisha waislamu na ugomvi" sio stereotype ya kijinga? Meanwhile kuhusisha CCM na ufisadi utasema ni stereotype ya kijinga?
 
Viongozi wetu hawa sijui huwa tunawaokota wapi! Mbona ni wajinga haswa!
 
Kuna tofauti kubwa sana ya neno tools na instruments katika mawanda ya tukio hili,please get the record straight. Membe alisema ukweli Zanzibar haina mandate ya kuingia mikataba ambayo uongozi wa Muungano upo.

Foreign affairs waziri ni mmoja tu. Ungekuwa ni msafara wa Dr. Shein sawa lakini msafara wa JK,Membe ndio mwenye instruments.This is from my 1st year at Chuo cha Diplomasia Kurasini (1980's) labda siku hizi mtaala umebadilika.
 
I thought Mangungo wa Msovero's ghost is no more...Sasa Mzimu wa Mangungo wa Msovero kumbe umezaliwa ndani ya Membe na wenzake.

Wakati kina Sultan Khalifa bin Said na Chifu Mangungo wa Msovero wakisaini mikataba ya Carl Peters (Mkono wa Damu) kina Abushiri bin Salim al-Harthi walikataa kusaini.

Je, leo kina Mashujaa wa aina ya kina Abushiri wako wapi?

Leo sisi ni watu wa kuridhia tu mikataba ikisainiwa hata kama haina tija kwa nchi. Kuna siku tutakumbwa na athari kama Wamasai wa Loliondo walivyochomewa nyumba na mali zao.
 
Membe hana msimamo mimi niliachana nae pale aliposhindwa kutaja walioshiriki rushwa ya rada wakati yeye anawafamu rais hawafahamu na akanywea badala ya kumplelekea boss wake majina kimyaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi hapa sioni Kama mfumo ni tatizo, make even I. Procols, sijui Kama kusaini kitu bila kusoma ni mfumo, ila naona alikuwa ameahidiwa kitu fulani kwenye mkataba aliostahili kusaini and then ulipotangulia mwingine Alaina ni ule ule wa 10%, shame on him. Sass atatuambiaje watanzania, kuwa ilikuwa ni suala la mfumo brio maana alisaini bila kuusoma, that is non-sense.
 
Mimi hapa sioni Kama mfumo ni tatizo, make even I. Procols, sijui Kama kusaini kitu bila kusoma ni mfumo, ila naona alikuwa ameahidiwa kitu fulani kwenye mkataba aliostahili kusaini and then ulipotangulia mwingine alifikiri ni ule ule wa 10%, shame on him. Sasa atatuambiaje watanzania, kuwa ilikuwa ni suala la mfumo brio maana alisaini bila kuusoma, that is non-sense.
 
Mimi hapa sioni Kama mfumo ni tatizo, make even I. Procols, sijui Kama kusaini kitu bila kusoma ni mfumo, ila naona alikuwa ameahidiwa kitu fulani kwenye mkataba aliostahili kusaini and then ulipotangulia mwingine alifikiri ni ule ule wa 10%, shame on him. Sasa atatuambiaje watanzania, kuwa ilikuwa ni suala la mfumo brio maana alisaini bila kuusoma, that is non-sense.
 
Kwani imetumika lugha ipi?kama ni ki-inglish mzee wa mtama amejipambanua kama mweledi wa lugha ya malkia so sipati idea kwanini hakuusoma kwanza,bt kama ni kichina huenda hakuelewa lugha so hakuwa na namna.
 
Kwahyo membe anazidiwa akili na kina chief mangungo ambae alikua hajui kusoma wala kuandika
 
This is where people go wrong! Habari za kuunga unga na zisizo na mashiko. Kila mtu mwenye akili timamu anajua kwamba hakuna nasaba kati ya Membe na Kikwete na kila mtu aliingia kwenye siasa in his own right. Suala la kufungiwa Mwanahalisi, ambalo hata Kubenea mwenyewe amelitolea ufafanuzi. Lakini watu wanasahau kwamba leo hii wanaojifanya kumtetea Kubenea ndiyo hao hao waliomdhuru na kumfanya apoteze uoni wake. TISS ni taasisi ambayo ni ya utumishi wa umma kama zilivyo idara na wizara nyingine na si dhambi kuitumikia nchi katika nafasi yoyote ya utumishi. ingekuwa dhambi basi hata Mrema, Marando na wengineo wasingekuwa na ufuasi mkubwa katika nyanja ya siasa.

Sasa tujiulize kama Zanzibar kwa status yake kama sehemu ya Muungano ana mamlaka ya kuingia kwenye makubaliano yoyote na taifa lingine. Masuala ya uhusiano wa kimataifa ni suala la Muungano ambalo liko chini ya waizara anayoiongoza Membe. Sasa kosa la Membe hapo ni nini? It would make a difference if Zanzibar had a status of state which is not the case here. Au kungekuwa na mantiki kama mkataba huo ni mbaya kwa nchi yetu na kwa kusaini basi alikuwa anaiiingiza nchi katika matatizo. Lakini kwa wanaofahamu, hakukua na signing ya makubaliano yoyote katika ziara ya China. Tafuteni issue nyingine, hii haina mashiko!
Foreign affairs is amongst the Union Matters (Constitution of URT, 1977 1st Schedule), and the person in charge of them is Membe! He was right, huyu jamaa wa SMZ hana locus stand in the presence of the Minister for Foreign Affairs for URT.
 
Membe alimwambia huna "instruments" mheshimiwa alihamaki! Rais wake akampoza kwa kumwambia hayo ni makosa ya kibinadamu
 
Nimefuatilia uzi huu mpaka sasa sijaona mchango mahsusi kuhusu hoja yenyewe. Nilidhani mjadala ungejikita katika kujadili uhalali wa Mhe.Membe kufanya hivyo maana sababu si alimpatia? Sasa sijui hapa tunajadili nini zaidi ya kumjadili mtu.

Nataka mtu aje aseme hapa kwa mujibu wa.Membe hakuwa sahihi kufanya hivyo otherwise naona ni extension ya chuki, na makundi ya urais. Give the guy a break.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom