Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,111
- 18,493
Mambo ya week end! Ukiamka nazo chukua barafu ogea Kama sabuni kabla ya kupost JF.Mods naomba mrekebishe heading isomeke CCM!
Mambo ya week end! Ukiamka nazo chukua barafu ogea Kama sabuni kabla ya kupost JF.Mods naomba mrekebishe heading isomeke CCM!
Punguza bange mkuu wangu. Nahisi hata wewe ukisoma ulichoandika utashangazwa nacho.Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama
Mwamba wa Kusini huo waja.....kuna mismatch kati ya title na content ya thread.
check!
Sarakasi!Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama
Hahahaaaa........unamaanisha Gambo?!Heading reflects Chadema is the one which has issued a single form ....... and not CCM.
Si ajabu wewe ni Mkuu wa Mkoa unaandika hivi..
Huyu huyu anaetueleza kuna fomu moja ndiye aliratibu uchukuaji fomu 2010 na ndiye alikuwa mstari wa mbele kushawishi wananchama wengine wasitangaze nia achilia mbali kuchukua fomu. Alikutana na Rostam kumshawishi amuombe Lowassa asichukue fomuHapa kwa form moja naomba kuelekezwa mwaka 2010 ilikuaje kwa kikwete? Form ilitoka moja tu ama?
Mkuu ni sawa, swali langu hapa nataka kuelewa huu ndo utaratibu? Je alipowashawishi wasichukue ilitoka form moja tu?Huyu huyu anaetueleza kuna fomu moja ndiye aliratibu uchukuaji fomu 2010 na ndiye alikuwa mstari wa mbele kushawishi wananchama wengine wasitangaze nia achilia mbali kuchukua fomu. Alikutana na Rostam kumshawishi amuombe Lowassa asichukue fomu
Keep on encouraging yourself, after October I'm sure stories will be different from what you have written here,Anajua fika hakubariki,kazi ni mmoja tu Oktoba 28 usifanye makosa.