Uchaguzi 2020 Membe aponda fomu moja ya urais CCM

Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Source: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama
Punguza bange mkuu wangu. Nahisi hata wewe ukisoma ulichoandika utashangazwa nacho.
 
kuna mismatch kati ya title na content ya thread.

check!
Mwamba wa Kusini huo waja.....
Bashiru & co jambajamba!

20200621_081451.jpg
 
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.

Source: Tanzania Daima

My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!

Maendeleo hayana vyama
Sarakasi!
 
Hapa kwa form moja naomba kuelekezwa mwaka 2010 ilikuaje kwa kikwete? Form ilitoka moja tu ama?
Huyu huyu anaetueleza kuna fomu moja ndiye aliratibu uchukuaji fomu 2010 na ndiye alikuwa mstari wa mbele kushawishi wananchama wengine wasitangaze nia achilia mbali kuchukua fomu. Alikutana na Rostam kumshawishi amuombe Lowassa asichukue fomu
 
Mkuu ni sawa, swali langu hapa nataka kuelewa huu ndo utaratibu? Je alipowashawishi wasichukue ilitoka form moja tu?
 
Haya mambo ya kujipima yana kulaza na viatu, una amka asubuhi unaombea ardhi ipasuke, stress, madeni na kila baya mitandaoni.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo akaona khaaaa kujitakia maradhi ya nini? "Na print form moja tu, ole wake mwingine ajitokeze".

Kama uchaguzi mkuu tukifanya hivi, kura za wazi mchana kweupe, tungeupata ukweli mchungu.

Mjumbe hauwawii, mjumbe hasemwi vibaya.
 
Anajua fika hakubariki,kazi ni mmoja tu Oktoba 28 usifanye makosa.
Keep on encouraging yourself, after October I'm sure stories will be different from what you have written here,

Your stories will be in these forms :- ooh our votes were stolen, ooh our contestant was sabotaged and other un known songs.
 
Form moja tu halafu unasema unapendwa 😅😅😅😅.
Angekutana nayo ya kigamboni...ashukuru waliomshauri kuja na wazo la form moja
 
Back
Top Bottom