GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,623
kwa hiyo uchafu wa Membe utawekwa wazi tu endapo atamshambulia kipenzi chakoPombe,
yani Membe asipomshambulia Pombe anabaki kuwa msafi.
kwani Pombe hatakaa aende nje ya nchi?Kuna UNACHOKITAFUTA Kwangu Endelea Tu Mkuu!
kesho atakanushaSasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================
Magufuli wananchi wa kawaida tunakuombea kwa Mungu japo vita unapigana nao ni kubwa ila utashinda tu.
Naanza kumpongeza Lowasa kwa kufanya fitna huyu jamaa asipewe nchi.
Ukiwa ccm ni marufuku Kutumia akili yako....MEMBE alipokuwa Waziri akitetea Safari za JK alipoingia MAGUFULI aliziponda sasa Ameibuka tena kuponda nadhani kuna mahari kabanwa....Ingawa ana Hoja issue nikwanini hakusema mwanzo wa Utawala wa Magufuli au alikuwa anasikilizia kwanza....Huyo SEFUA na SENDEKA watasikiliza Sauti ya Tumbo itakavyosema...nawao utawasikia tuHaya sasa Balozi Sefue, Olesendeka na Bulembo iteni press mumjibu Bernad Membe.
Membe atuachie Rais wetu, kama anaona inamuuma sana, atafute malimao akamue tani nzima anywe ili kichefuchefu kimtoke. Rais ni Magufuli yeye asubiri kutumbuliwa tu.Bulembo na Ole Sendeka wasiishie kumjibu Makongoro wamjibu na huyu
Alikuwa waziri wa mambo ya nje serikali iliyopita mwenye tuhuma za kulala mbele na fedha za gadafi.Kwan Membe ndio nani?