Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

Tusubiri tu ... zitakuja meli za maonesho ya Vitabu, na manuari za kijeshi !!! TZ tushazoea kupiga hatua 1,2 mbele na kurudi nyuma hatua 10 .....!!
GOD BLESSN Tanzania..
meli nyingi sio kigezo, je mifuko ya kodi imetuna? zinaweza kuja kiboa lakini pesa zinaenda kwa makambale,
 
Khaswa hapa wengi hawalifahamu hili...kodi huwa inaliwa na gharama za uteremshaji,kuhodhi,kupakuwa nk nk zote hulipwa...ila katika bahari huwepo nyangumi,papa na samaki wajanja wengi.. (watumishi umma na vigogo ndo wappangaji dili na mission zote) ndo wanaonufaika....

huku mujini tunaambiwa wakwepaji kodi... !! khaaaaah yaani dereva wa $$ apite njia za mkato
abiria ilimradi afike !! hapo nani mwenye makosa ??????
hamic abdallah
 
Mimeli miingi halafu hakuna kodi inayoingia ya nini? Hii ni hofu kwa wala vichafu.
 
Makusanyo ya kodi yatakuwa madogo tu Sikh za usoni
Wezi na wakwepa kodi ndio watakimbia bandari ya Dar na hata huko Mombasa watakimbia pia...!
Hata hivyo kwa maelezo ya afisa wa TRA pale ITV akiongelea juu ya hizi habari za kupungua kwa meli alitoa takwimu na kuthibitisha kuwa hizi ni habari za vijiweni!

Hivi huyu mtoa mada hufanya clearance kwa kila meli inayo ingia bandarini? Mtoa mada anacho takiwa kusema kuwa ni kampuni yao kwa sasa haipati tenda kama mwanzo na hilo halithibitishi kupungua kwa meli...!
Kampuni yao imepoteza wateja na wamekwenda kwa makampuni mengine....
Tusubiri tu ... zitakuja meli za maonesho ya Vitabu, na manuari za kijeshi !!! TZ tushazoea kupiga hatua 1,2 mbele na kurudi nyuma hatua 10 .....!!
GOD BLESSN Tanzania..
 
Wezi na wakwepa kodi ndio watakimbia bandari ya Dar na hata huko Mombasa watakimbia pia...!
Hata hivyo kwa maelezo ya afisa wa TRA pale ITV akiongelea juu ya hizi habari za kupungua kwa meli alitoa takwimu na kuthibitisha kuwa hizi ni habari za vijiweni!

Hivi huyu mtoa mada hufanya clearance kwa kila meli inayo ingia bandarini? Mtoa mada anacho takiwa kusema kuwa ni kampuni yao kwa sasa haipati tenda kama mwanzo na hilo halithibitishi kupungua kwa meli...!
Kampuni yao imepoteza wateja na wamekwenda kwa makampuni mengine....
TRA !! TRA !! TRA walsha aiybika (nchi nzima ilishuhudia jipu/majipu yao) sasa maelezo ya Afisa wa TRA ni ya kuziba ziba viraka !! damage wameshafanya .... ugonjwa mwingine huu umejitokeza.... Tunaomba Serikali ilitambue hili mapema ili mzunguko wa import/export urudi katika hali yake !!
 
Weka hapa takwimu kuthibitisha mzunguko hauko sawa na ukumbuke mapato na makusanyo yameongezeka!
Ile si bandari ya kufanyia maonesho ya Meli....
 
Ukiacha kodi ya TRA, kuna port charges wenye mizigo wanatakiwa kutoa! So its true wakipitia mombasa TRA itakusanya pesa yake kama kawaida ila PTA watakosa mapato!

Liangaliwe vzr hilo, ingawa ni uoga tu wa wafanya biashara hali ikistabilize watarudi
 
Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa

Wanahangaika tu; kokote watakapoingilia watatumbuliwa mpaka wafilisike kabisaa na kufungwa; majizi makubwa hayo! Good riddance.
 
Weka hapa takwimu kuthibitisha mzunguko hauko sawa na ukumbuke mapato na makusanyo yameongezeka!
Ile si bandari ya kufanyia maonesho ya Meli....
FYI, basi hizo meli zimeleta bidhaa za nchi jirani..... "Statistics zipo TPA/Wizara ya uchukuzi na Wiz Fedha" waianike hapa ...hata kauchumi kamedorora ....
Mapato yaliokusnywa ni yale ya 2015 (malumbikizo ya awali) !!
new Year 2016 ni vichekesho...tu
 
Ukiacha kodi ya TRA, kuna port charges wenye mizigo wanatakiwa kutoa! So its true wakipitia mombasa TRA itakusanya pesa yake kama kawaida ila PTA watakosa mapato!

Liangaliwe vzr hilo, ingawa ni uoga tu wa wafanya biashara hali ikistabilize watarudi
Hakuna mapato ya tra na tpa; yote ni mapato ya serikali!
 
Wale wanaokwepa mje muingizie mizigo yenu nyumbani kwangu mie nimejenga mbweni baharini mliozoe vya dezo njooni huku bei cheee nina eneo kubwa sana.
 
meli ziende mombasa au beira ishu ni kwamba bidhaa zisiingie nchini bila kulipia kodi
 
Back
Top Bottom