Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

Bora tu waacge kuja, hao ndio waliokuwa wakwepaji wakubwa wa kodi na ukwepaji wao haukuwa ukitusaidia so wapotee tu.
 
tutapiga mahesabu mwsho wa mwaka tuone tunaenda mbele au tunarud nyuma....ila mwenyew nmeckia pipoz nying tu znapitishia mombasa mizigo yao,hasa wale wafanya biashara wa burundi na uganda
Soma post namba 19, blah blah na maneno mengi huweza kumiksiwa na njunja a.k.a uongo but numbers as another fellow said already,dont lie!
 
Jamaa wanaweweseka ile mbaya. last few weeks walikuja kulaumu ushirikiano na DRC kwenye mambo ya forodha wakasema tunakosa mapato. Walipotakiwa kutoa takwimu wakasepa....leo wanakuja na hoja nyepesi nyingine. au wanaisoma namba?
 
Back
Top Bottom