mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,063
- 3,780
ACHANA NAO MWANANGU
Kwaiyo point yako ni nini hasa?Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa
Kwa hiyo nia na dhumuni lako ni nini!!??? Muachiwe ili muendelee kukwepa Kodi !!???Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa
Tunashukuru sana mkuu kwa kuweka Data & Numbers. Naona WAHUJUMU UCHUMI wanahaha na kutokwa makamasi kila kona.Harbour View Plus
Leo ni tarehe 9 March ambapo ripoti ya bandari Dsm inaonyesha kuwa meli 54 zimewasili kwa mwezi wa 3(wastani wa meli 5 kwa siku) kumbuka leo ni tarehe 10 March.
Mwezi wa 2 ziliwasili meli 190(wastani wa meli 6 kwa siku), January 172(wastani wa meli 6 kwa siku).
Mwaka Jana jumla ya meli 1093 ziliwasili kwa size tofautitofauti toka januari 1 mpaka December 31,2015(wastani wa meli 3 kwa siku)
Mkuu tatizo lao hawa wanataka kuonyesha kuwa serikali imeshindwa!! Badala ya kuisaidia kwa maendeleo ya nchi na wote. Tumepata Rais mzuri tumpe sapoti.Tunashukuru sana mkuu kwa kuweka Data & Numbers. Naona WAHUJUMU UCHUMI wanahaha na kutokwa makamasi kila kona.
tutapiga mahesabu mwsho wa mwaka tuone tunaenda mbele au tunarud nyuma....ila mwenyew nmeckia pipoz nying tu znapitishia mombasa mizigo yao,hasa wale wafanya biashara wa burundi na ugandaMm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa
Acha Majungu wewe Juhakalulu. Kuna mdau ameweka Data hapo juu tafuta mtu hapo ulipo akufafanulie. People Lie, Numbers Don't.tutapiga mahesabu mwsho wa mwaka tuone tunaenda mbele au tunarud nyuma....ila mwenyew nmeckia pipoz nying tu znapitishia mombasa mizigo yao,hasa wale wafanya biashara wa burundi na uganda
Kwani hizo meli zilipokuwa zinajaa hapo bandari wakati ule tulikuwa tunafaidika na nini?Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa
ninauza dawa ya kuua funza walioko kwenye celebrumAcha Majungu wewe Juhakalulu. Kuna mdau ameweka Data hapo juu tafuta mtu hapo ulipo akufafanulie. People Lie, Numbers Don't.
Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa
Ooooh..ni zile ulizoandikiwa pale mirembe ndio umebakisha!!!! Nakushauri usiziuze maana inaonekana hujapona vizuri. Au ulikatisha dozi!?ninauza dawa ya kuua funza walioko kwenye celebrum
nnazo za meningitis pia nauza kwa bei nafuu tuOoooh..ni zile ulizoandikiwa pale mirembe ndio umebakisha!!!! Nakushauri usiziuze maana inaonekana hujapona vizuri. Au ulikatisha dozi!?
wewe usisema bora chache, kaka yako naaibika huku.. Wifi yako atakosa hela ya saloon...!sawa tu bora chache kuliko nyingi za wakepa kodi