Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

Kuna possibility kuwa:
  • unaitishia serikali ili ilegeze msimamo wake kuhusu bandari yake kutoendelea kuhujumiwa na wajanja wachache
  • hao waliohama ni wale waliozoea kutuibia sasa wanaona pamekuwa pamoto ndiyo wamekwenda hukoo, tena waambie kabisa ukiwaona, mambo ya dezo yalishaondoka na awamu ya dezo
 
Mm nafanya ya clearing and forward nimeshughudia idadi ndogo za meli zina beth bandarini tangu wanze kutumbua majibu nchini meli ngingi zimeamia bandari ya Mombasa Kenya yaani hakuna kabisa

Harbour View Plus

Leo ni tarehe 10 March ambapo ripoti ya bandari Dsm inaonyesha kuwa meli 54 zimewasili kwa mwezi wa 3(wastani wa meli 5 kwa siku) kumbuka leo ni tarehe 10 March.

Mwezi wa 2 ziliwasili meli 190(wastani wa meli 6 kwa siku), January 172(wastani wa meli 6 kwa siku).
Mwaka Jana jumla ya meli 1093 ziliwasili kwa size tofautitofauti toka januari 1 mpaka December 31,2015(wastani wa meli 3 kwa siku)
 
Back
Top Bottom