Independence of the Seas is the third of the Freedom-class vessel. In October 2009, Oasis of the Seas, the first ship in the Oasis-class displaced theFreedom-class as the world's largest passenger ships.
Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean
unajua kila mwaka wanashindana kuongeza vipimo tu!!!!!!!!!amavubi nilidhani cruise ship kubwa zaidi duniani ni independent of the seas....ipo ingine kubwa zaidi ya hiyo kweli?
ms independence of the seas - wikipedia, the free encyclopedia
:welcome: .......Jamani mnaweza kubofya Google ......Guinness world records fetches engineering hapo utaona mambo mengi sana pamoja na msikiti mkubwa kuliko yote duniani, kanisa kubwa kuliko yote duniani, duka kubwa, uwanja mkubwa, ndege kubwa, kuna mambo mengi sana nakadhalika...... tujifunze hapo
unaangalia saa ngapi Dstv? Kutwa kucha huko JF:focus:
Asante kwa maelezo mkubwa,kuangalia picha na kujua hiki nini ,cha nani,kinaitwaje ni elimu tosha,