Meli Kubwa Kabisa Duniani

Msije mkasema la mkosaji, lakini na bahari wamezi-control ili meli hizi ziwe salama zaidi?
 
Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean

unaangalia saa ngapi Dstv? Kutwa kucha huko JF:focus:
 
:welcome: .......Jamani mnaweza kubofya Google ......Guinness world records fetches engineering hapo utaona mambo mengi sana pamoja na msikiti mkubwa kuliko yote duniani, kanisa kubwa kuliko yote duniani, duka kubwa, uwanja mkubwa, ndege kubwa, kuna mambo mengi sana nakadhalika...... tujifunze hapo
 
Triple-E maersk container ship will be the worlds largest sea going vessel. Watch this space.
 
ndio maana ya jukwaa hili kujuzana
:welcome: .......Jamani mnaweza kubofya Google ......Guinness world records fetches engineering hapo utaona mambo mengi sana pamoja na msikiti mkubwa kuliko yote duniani, kanisa kubwa kuliko yote duniani, duka kubwa, uwanja mkubwa, ndege kubwa, kuna mambo mengi sana nakadhalika...... tujifunze hapo
 
Mwanekano kwa mbali!!Allure cruise ship
Allure-of-the-Seas-Ship-Review-3.jpg
 
Ila hizi hua zinapataga matatizo ya kuungua...! Hua zina wakaga moto sana...!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom