Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 684
- 1,541
Wataalam, natanguliza shukrani.
Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa uzoefu wake anajua magari madogo kama hilo langu ni gari la petrol hivyo nikamwacha afanye yake na akaenda kuchukua oil mimi nikalipia akafanya service kubadili kusafisha kila kitu muhimu kwa service ya gari.
Sasa nilipofika nyumbani lile dumu la oil nilonunua ie kubadilisha kabla sijalitupa kulitoa kwa gari nikasema baada ya kujisikia tu nilisome kidogo... niliposoma
Nikashangaa limeandikwa
Diesel Engine Oil
na kampuni ni
TotalEnergies
Rubia S
SAE 40
API CF/SF
Nikashangaa kwa nini hakuniwekea Petrol Engine Oil!?
Nikampigia simu akasema eti hiyo oil haina shida yeyote wala haiwezi kuharibu engine ya gari yangu ni kawaida wao kuitumia kwa magari ya petrol mimi sio wa kwanza.
Kwa kweli, sijamuelewa maana sijawahi kuweka kitu tofauti na matumizi yake hii ni mara ya kwanza,
Nimetembea na gari hilo kutoka garage mpaka home ni kilometa 6 tu nimepaki sina amani kulitumia mpaka nisikie maoni ya ninyi wadau.
Je ni kweli kuwa hakuna tatizo nitapata kwa gari yangu baada ya kuweka hii diesel engine oil kwa gari la engine ya petrol!?
Nisaidieni