Meja Jenerali Abdallah Senussi: Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Jeshi Libya aliyetishia kuita Fighter Jet kulipua Gereza la Abu Salim lililojaa wapinzani

Hivi unajua baada ya Saddam Hussein, mnunuzi wa pili wa silaha za Soviet/Russia ni Qaddafi kwa nchi za waarabu?
Nafaham tu kwamba wote Hawa walikuwa na hata Leo ni wanunuxi wa silaha za kirusi lakini sijui Nani mteja zaidi. Eg Iraq mwaka 2017 waliagiza t90 tanks! Hata hivyo kwa Iraq ndege advanced zaidi aliouziwa na Soviet/ Russia ilikuwa ni mig 29 bila kusahau interceptors km mig 25, attack aircraft( su 24,25)
Vile vile kwa Libya Hali ni hiyohiyo.
Niingie kwenye point si Iraq ya sadam, Wala ya leo uliwahi kuwa na Su 30. Pia si Libya ya colonel Gadafi Wala ya leo yenye su 30.
NaombA jibu hapa coz thread yako inadai Libya Walikua na su 30 iliotaka kulipua gereza kwa maagizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwe mpenz. Msomaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NaombA jibu hapa coz thread yako inadai Libya Walikua na su 30 iliotaka kulipua gereza kwa maagizo.
Kwahiyo boss unachotaka wewe ni ushahidi gani kutoka kwangu? Procurement contracts au purchasing invoices za hiyo midege ya Sukhoi
 
Kwahiyo boss unachotaka wewe ni ushahidi gani kutoka kwangu? Procurement contracts au purchasing invoices za hiyo midege ya Sukhoi
Tuonyeshe source ya uwepo wa su 30 katika Libya. Br unapokuja na thread hapa hakikisha utafiti umeufanya wa kutosha! Wengine toka tukiwa wadogo tumefunzwa kutokubaliana na kila kitu kisemwacho, labda kwa sababu anayesema ni mjuzi Sana!
Katika ndege Vita ambazo NATO na washirika wake hutaka namna ya kuipata, kuijua teknolojia zake ni su 30, su 35, na su 57, tu 95, tu 160. Kwa bahati mbaya ndege Kama mi 24( helicopter) su 27, mig 25 tayari NATO wanajua kilichomo..
Kama Libya wangekuwa na su 30, NATO wangeshachukua ndege hiyo kuifanyia uchunguzi baada tu ya Vita. Lakini walichokikuta katika airforce ya Libya ilikuwa ndege zilezile tu zisizo na choçhote dhidi ya NATO eg mig 21, mig 23, na mig 25.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni mbishi sana anaonekana. Sasa sijui anataka ushahidi gani kutoka kwangu? Au anataka nimuwekee mpaka invoices pamoja na procurement contracts za hiyo midege
Unacho kufanya we ni kunitoa katika mstari kwa namna ya kifalsafa iitwayo Ad Hominem kwa kuniita mbishi, siku yoyote ukipata info ( evidence) zaidi kuhusu uwepo wa su 30 ndani ya Libya au Iraq niambie au waambie Hawa followers wako unaowamezesha kila kitu na hawajui kuhoji.. majibu yao kila siku ni yes mkuu Kali tunaomba utuandalie nyingine..
Siku nyingine jipange vyema kujibu maswali ya wanajf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo military hardwares pamoja na machines zote za Libya zipo Google? Google ndio armoury ya Jeshi la Libya kwamba kila wakinunua silaha wanatoa taarifa kwenye internet?
Pengine si zote, lakini kwa kiasi kikubwa kila kitu kipo wazi! Angalau ungenambia Tz Wana su 30 ningekuamini kidogo coz wao kidogo taarifa zao ni Siri kuu!
Kwa nchi Kama Libya iliharibiwa kwa Vita silaha kubwa Kama madege Vita siyo Siri Tena zimedunguliwa mbaya na west

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unacho kufanya we ni kunitoa katika mstari kwa namna ya kifalsafa iitwayo Ad Hominem kwa kuniita mbishi, siku yoyote ukipata info ( evidence) zaidi kuhusu uwepo wa su 30 ndani ya Libya au Iraq niambie au waambie Hawa followers wako unaowamezesha kila kitu na hawajui kuhoji.. majibu yao kila siku ni yes mkuu Kali tunaomba utuandalie nyingine..
Siku nyingine jipange vyema kujibu maswali ya wanajf

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss mbona umeanza ku-panic sasa? Huu mchezo hauhitaji hasira boss
 
Pengine si zote, lakini kwa kiasi kikubwa kila kitu kipo wazi! Angalau ungenambia Tz Wana su 30
Military Intelligence Chief wa TZ hajawahi kusema kuwa wanayo Su-30, ila M.I chief wa Libya aliwahi kusema kuwa wanayo na anaweza kumuamuru Air force commander aitume kwenda kulipua Gereza la Abu Salim.

Kwahiyo hauna imani na Abdullah Al-Sanussi?
 
Haya baba eh sawa Libya Wana su 30 zilizohifadhiwa kabatini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumilia tu boss wangu. Zimebakia siku 6 tu ili hiyo wiki itimie kaka

Wiki ijayo my foot!

Walimkwida kama kina Saddam na Ghaddafi baada ya kumaliza dhamana za uongozi wao!

Alikamatwa Mauritania akitokea Morrocco na passport ya Mali na midevu kibao...

2013MENA_Libya_Senussi.jpg
 
Back
Top Bottom