MEDUSA: Shetani mwenye kichwa cha nyoka. Je, ni kweli damu yake ilitumika kufufua wafu?

Ninajitahidi sana kujifunza vitu kupitia movies, documentaries pamoja na Vitabu. Watu wengi wanakataa maarifa haya
na ndipo hapo akili yao hurudi nyuma daima

Vipo vingi sana vya kuvijua mambo ni mengi mno mkuu
 
Naona ni mythology za wagiriki hizi, kwanza huyo medusa alipokuwa anatafutwa ilibidi huyo mungu athena aulize ndugu zake medusa ili wajue alipo, yeye kama ni mungu angejua tu medusa alipo akatua na jeshi lake wakammaliza.Kwa sababu yeye ndio kabadili nywele za medusa kuwa nyoka, sasa alishindwa kujua alipo kweli? mh!!

Halafu huyo medusa inakuwaje ana uwezo wa kumtazama mtu anageuka kuwa jiwe halafu akashindwa kugundua huyo muuaji aliyetumwa anakuja kumtoa roho?

Mi sidhangai, kama akina Charles Darwin walituzoa akili mpaka mashuleni wanasoma, hawa wanashindwa nini?
Mkuu kuna fact unairuka.... Medusa alikua cursed sababu inaonekana aliiba bwana wa mungu-mke fulani hivi sasa ili asije akapendwa na mwingine akawa amelaaniwa kwamba kila kidume atakayemuangalia atageuka jiwe.

So zaidi ya hiko sidhani kma alikua na supernatural power yoyote ile ya kutambua.

NB: Definition ya mungu kwa greek mythology sio sawa na hii ya Abrahamic religions kwamba Mungu anajua kila kitu ama yupo kila sehemu...... Wao kila mungu ana characteristics zake ndio maana Hades yupo restricted kuzimu n.k......

Ndio maana hata kuna watoto wa cronus nadhani, walipotaka kuuawa kuna mmoja alifichwa mlima olympus na miungu haikufahamu kabisa walipo mpaka mtoto alipokua mkubwa.

Huo ndio muono wangu kwa muktadha huu
 
Unakumbuka semiramiz na Tamuz wale watoto wa babeli walikuwepo na wakapotea eti na wao walikuwa miungu

Kila mtu ana mungu wake hii Dunia ,,hao walikuwa miungu watu fulani
hata Biblia inamtambua Hades kma mungu wa underworld!!
Then inamtambua pia semiramis kma malkia wa mbingu!
 
wrath of the titans
Wrath na clash.... Of the titans ni movie mbili tofauti.
Then ile ya CTN ilikua older version ya clash of the titans... Hii clash of the titans ya sasa imekua kiteknolojia zaidi imepunguza uhalisia wa ile ya mwanzo.

Hivi

Rise/clash of Titan ni tofauti na hiyo? Movie hiyo niliiona zamadi kidogo CTN, ila naitafuta mpaka leo sijaipata
 
Hizi hadithi za kufikirika au myths za kigiriki summerria ,ashuru n.k zinanivutia sana .... Ukiwa unavisoma hivi visa vinakupeleka kwenye dunia nyingine sana ya kipekee ... Anyway shout out kwa mleta uzi
Mkuu kma ni kufikirika ni kwanni vitabu vya dini vinatambua baadhi ya characters wa greek/Sumerian Mythology.

Mfano Hades,King Og,
 
Kingine kwa wagiriki kuna Mungu aliyeitwa Atlas ambaye alipigana vita dhidi ya Zeus. Atlas ni titans. Baada ya kushindwa vita Zeus alimpa adhabu ya kuibeba dunia tunayoishi sisi.

Nyengine zinasema alipewa adhabu ya kuishikilia mbingu ambapo Atlas alikuwa ni kama nguzo.
Duu kuna shule inaitwa Atlas pale ubungo nembo yake mtu kaibeba dunia itakuwa yakigiriki nini.
 
Duu kuna shule inaitwa Atlas pale ubungo nembo yake mtu kaibeba dunia itakuwa yakigiriki nini.
Yap! Na jina lake anaitwa Atlas hivyo hivyo! Na ndiyo adhabu aliyopewa na Zeus (kutokana na Greek mythology).
 
Hakuna kitu mkuu
Sidhani hata kama wanajua full story ya Atlas

Kuna sehemu maeneo ya Singida nilikuta kibanda cha chips kinaitwa Grim Reaper Chips Yule jamaa nilimuuliza kama anafahamu maana yake au ndo mkumbo!!!!! Lakini watu hawaelewi maana
 
Mkuu kuna fact unairuka.... Medusa alikua cursed sababu inaonekana aliiba bwana wa mungu-mke fulani hivi sasa ili asije akapendwa na mwingine akawa amelaaniwa kwamba kila kidume atakayemuangalia atageuka jiwe.

So zaidi ya hiko sidhani kma alikua na supernatural power yoyote ile ya kutambua.

NB: Definition ya mungu kwa greek mythology sio sawa na hii ya Abrahamic religions kwamba Mungu anajua kila kitu ama yupo kila sehemu...... Wao kila mungu ana characteristics zake ndio maana Hades yupo restricted kuzimu n.k......

Ndio maana hata kuna watoto wa cronus nadhani, walipotaka kuuawa kuna mmoja alifichwa mlima olympus na miungu haikufahamu kabisa walipo mpaka mtoto alipokua mkubwa.

Huo ndio muono wangu kwa muktadha huu
shukrani kwa kuja mkuu
 
Kuna sehemu maeneo ya Singida nilikuta kibanda cha chips kinaitwa Grim Reaper Chips Yule jamaa nilimuuliza kama anafahamu maana yake au ndo mkumbo!!!!! Lakini watu hawaelewi maana
😂😂😂so sad
 
Back
Top Bottom