Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 1,500
- 1,930
Hawa ndiyo waliotoboa siri kwa Peseo mahala anapopatikana Medusa Gorgon
Ndio mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndiyo waliotoboa siri kwa Peseo mahala anapopatikana Medusa Gorgon
Ina part two yake nahisi ni iyo RISE maana ile ya kitambo ni iyo clashHivi
Rise/clash of Titan ni tofauti na hiyo? Movie hiyo niliiona zamadi kidogo CTN, ila naitafuta mpaka leo sijaipata
👏👏Ina part two yake nahisi ni iyo RISE maana ile ya kitambo ni iyo clash
Nilikuwa sawa. Ile yenyewe ambayo ilitoka mwaka 1981 ilikuwa inaitwa clash of Titans, hii wrath of titans imetoka miaka ya 2000wrath of the titans
Wenye maeneo yao wanerudNilikuwa sawa. Ile yenyewe ambayo ilitoka mwaka 1981 ilikuwa inaitwa clash of Titans, hii wrath of titans imetoka miaka ya 2000
hatariiHawa ndiyo waliotoboa siri kwa Peseo mahala anapopatikana Medusa Gorgon
Yeaah unageuka jiwenilimuona kwenye clash of titans, akikuwakia na mdomo unageuka kitu kama jiwe ivi
.....alaf anakupiga na ule mkia wake jiwe linavunjika vipande vipandeYeaah unageuka jiwe
Ni hatariii.....alaf anakupiga na ule mkia wake jiwe linavunjika vipande vipande
Hahahahaaa, CTN na movie zao za 'TNT' , kitaaaambo!!!!Hivi
Rise/clash of Titan ni tofauti na hiyo? Movie hiyo niliiona zamadi kidogo CTN, ila naitafuta mpaka leo sijaipata
Mkuu nowdays haupo uko kabisa nini🤣🤣🤣Hahahahaaa, CTN na movie zao za 'TNT' , kitaaaambo!!!!
Angalau ungesema kwa kiswahili tafadhaliKwa kiswahili please
🤣🤣🤣🤣🤣daaaahAngalau ungesema kwa kiswahili tafadhali
We jamaa bana ,Angalau ungesema kwa kiswahili tafadhali
Bado unazihitaji hizi moveHivi
Rise/clash of Titan ni tofauti na hiyo? Movie hiyo niliiona zamadi kidogo CTN, ila naitafuta mpaka leo sijaipata
Kumbuka poseidon naye alikuwa muungu katika miunguKosa lifanywe na Poseidon pamoja na medusa, medusa awajibishwe pele yake hii sio sawa
Nahitaji sana tu mkuu. Kama unayo naombaBado unazihitaji hizi move