Medical Students are not Creative than engineering students?

You are a qualified engineer but still a medical student. Maliza kwanza Medicine, then nitaamini kuwa unazijua hizi fani zote vizuri
acha kukwepa swali kisiasa ....
 
kwanza umenikera kutulinganisha madaktari kwa wahandisi!! medicine is a noble professional.....mtu katoka kuoa bikra bahati mbaya mkewe anaumwa tumbo wanamkimbizia hospital wakifika dr nasema mgonjwa ingia we jamaa subiri nje na kweli lzm utulie nje mi ndani naongea na mgonjwa wangu OK kijana tutake radhi madaktari kabla hatujakukata kichwa chako na kukuwekea kichwa cha osama ukaanza kusakamwa duniani kote
 
Pharmakinetic,pharmadynamic;una maanisha nini hapa mkuu

Hiyo medicine unaisoma kwa level gani?
 
Pharmakinetic,pharmadynamic;una maanisha nini hapa mkuu

Hiyo medicine unaisoma kwa level gani?

jamaa atakuwa anasomea kwenye sayari ile mpya inaitwa Proxima Centaur B ..ha haaaa
 
udaktari wako wa kijinga kabisa.......kwa point yako hii nnamashaka na GPA yako
 
Kwani Mechanical engineering wanasomea ufundi magari peke yake? Hii course ni too general ina vitu vingi, kumbuka kuna Automotive Engineering pia.
 
hakuna dr. mwenye majigambo kama wewe, , , I know you'r still a student, so usichafue fani za watu buana.
 
hakuna dr. mwenye majigambo kama wewe, , , I know you'r still a student, so usichafue fani za watu buana.

asikusumbue huyu ni nesi sio dokta
 
Kwani Mechanical engineering wanasomea ufundi magari peke yake? Hii course ni too general ina vitu vingi, kumbuka kuna Automotive Engineering pia.
najua wanasoma vitu vingi ndo maana nikatoa mfano mmoja . nitatoaje sasa mifano ming???
 
Kwa mtazamo wangu mie naona maengieer wako vizuri na huko mbeleni kutatokea programme za ki IT zitakazowareplace madoctor japo ni baadae sana....

Usingeandika Maneno Hayo Hapo Juu Basi Ningeliweza Kuchangia Points Katika Huu Uzi Wako!!
Lakini IT akawe MD au Pharmacist hilo limenifanya Niuone Uzi Wako Meaningless
 
hakuna dr. mwenye majigambo kama wewe, , , I know you'r still a student, so usichafue fani za watu buana.
wewe hunijui Mimi acha kujifanya unanifahamu!! Mimi na wewe tumefahamiana hapa jf nashangaa hayo majigambo yako yakujifanya wanijua tangu nasoma yanatoka wapi? Mi sipendi siasa zako uchwara bhana jirekebishe
 
wewe unayejua ebu tunaomba uitoe tofaut kati ya enginer na technician ..ngoja tuone kama hautapitia Google
Sasa wewe kama ulijua kuna google mbona hukuenda kutafuta mpaka unalinganisha engineer na mtu alojifunzia mtaani bila hata kujua principal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…