Media za Magharibi zinatumika kuharibu amani yetu

Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki

Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu

ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious usio wa kawaida

wasiwasi wangu ni kwamba media hizi kuwa zina tumika vibaya na mabepali kuhakikisha nchi hai tulii na wao kunufaika na machaguko kama ilivyo kwa nchi nyingi sina ulazima wa kuitaja ..

CNN leo wakutoa repoti mpaka setelite mbona hawatoi hizo ripoti Gaza ,Ukraine ,Somalia sehem kibao kuna hali mbaaya zaidi ila wame tolea macho Tanzania kujaza sumu raia waichukie serikali yako tiifu.

tuwakatae kwa NENO moja hatupo tayari kuvunja amabi tuli ijenga kwa zaidi ya miaka 60 kwasbabu yao.
Umeandika utumbo wa bata..
 
Amani gani tuliyokuws nayo au uoga?
Alafu wenzenu wameandika matukio sio HADITHI.
 
Biblia inasema aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
 
Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki

Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu

ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious usio wa kawaida

wasiwasi wangu ni kwamba media hizi kuwa zina tumika vibaya na mabepali kuhakikisha nchi hai tulii na wao kunufaika na machaguko kama ilivyo kwa nchi nyingi sina ulazima wa kuitaja ..

CNN leo wakutoa repoti mpaka setelite mbona hawatoi hizo ripoti Gaza ,Ukraine ,Somalia sehem kibao kuna hali mbaaya zaidi ila wame tolea macho Tanzania kujaza sumu raia waichukie serikali yako tiifu.

tuwakatae kwa NENO moja hatupo tayari kuvunja amabi tuli ijenga kwa zaidi ya miaka 60 kwasbabu yao.
Kuuwa muue nyie, lawama ziende kwa CNN?
 
Unataka tuendelee kuuawa na maiti zetu zikazikwe kwenya makaburi ya halaiki? Kweli wewe unatumia makalio kwenye kufikiri. Umezoea kuficha ficha na kuiba mali za watanzania hasa watanganyika, nikwambie nini? sasa tumeamka, hamtuwezi tena. Wewe ni mpumbavu sana kama serikali yako ya Samuya, mmetudharau vya kutosha, mkisema kuwa tunatumika......Yaani nyie muibe mali yetu, muibe kura, mtulazimishe tuwachague kwa nguvu halafu tuwakubali? Mnachekesha kweli nyie mafala mnaokubali kupokea vilaki vya pesa ili muisaliti nchi yenu, wakati kina Samia wanahamisha Billions of Dollars kwenda Oman na UAE, ninyi mnapewa pesa kiduchu kuwasapoti, Shame on you all.
Sisi watanzania tunajitambua, wasiojitambua ni hao police wetu na Samia wao ambao wote ni Form IV failures. Hatutumiwi, wala hatulipwi na yeyote bali tunataka nchi iwe nzuri, hao mbwa wote akiwamo mbwa wao mkubwa watuachie nchi yetu na warudishe mabilioni ya dollar walizoiba.
 
Raia ndio wamepush hii ishu na ivyo vyombo vikaamua kuingia front
 
Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki

Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu

ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious usio wa kawaida

wasiwasi wangu ni kwamba media hizi kuwa zina tumika vibaya na mabepali kuhakikisha nchi hai tulii na wao kunufaika na machaguko kama ilivyo kwa nchi nyingi sina ulazima wa kuitaja ..

CNN leo wakutoa repoti mpaka setelite mbona hawatoi hizo ripoti Gaza ,Ukraine ,Somalia sehem kibao kuna hali mbaaya zaidi ila wame tolea macho Tanzania kujaza sumu raia waichukie serikali yako tiifu.

tuwakatae kwa NENO moja hatupo tayari kuvunja amabi tuli ijenga kwa zaidi ya miaka 60 kwasbabu yao.
Amani ya nchi inaanzia hapa.
Katiba mpya
Uchaguzi huru na haki
Mahakama isiyoingiliwa
Utawala wa sheria
Uwajibikaji
 
IMG-20251122-WA0002.jpg
Screenshot_20251122-021058.png
 
Yaani we bwege kweli kweli!
Sasa tunayajuaje hayo ya Ukraine na Gaza bila wao kuripoti?
Sema hamuamini kilichotokea! Harafu nahisi na wewe huenda ulishiriki kuua,sasa hukumu inakutesa moyoni.
Watu wanangoja miili yao wakazike ujue!
 
Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki

Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu

ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious usio wa kawaida

wasiwasi wangu ni kwamba media hizi kuwa zina tumika vibaya na mabepali kuhakikisha nchi hai tulii na wao kunufaika na machaguko kama ilivyo kwa nchi nyingi sina ulazima wa kuitaja ..

CNN leo wakutoa repoti mpaka setelite mbona hawatoi hizo ripoti Gaza ,Ukraine ,Somalia sehem kibao kuna hali mbaaya zaidi ila wame tolea macho Tanzania kujaza sumu raia waichukie serikali yako tiifu.

tuwakatae kwa NENO moja hatupo tayari kuvunja amabi tuli ijenga kwa zaidi ya miaka 60 kwasbabu yao.
Hawawezi kufanikiwa, kuna kikundi fulani hakitumii akili ila mihemko na matusi. Kwa style hiyo mtu wa namna hiyo akiumia wala kufariki hutakiwi kumuonea huruma. Amani ya Watanzania ni muhimu no matter the cost, kuliko kuwafurahisha wazungu. Aliwahi kusema Samora Machel M/Mungu amrehemu akiwaambia wananchi wa Msumbiji ukifika wakati mkiona naanza kusifiwa na wazungu mjue nimeanza kuwasaliti, kwahiyo nahapa kwetu ukiona kuna kikundi cha watu ambacho kimejiunga na wazungu ni cha kukiangalia kwa makini na hakipaswi kupewa nafasi hata sekunde moja.
 
Amani Gani unayo mnafiki wewe! Unajua amani kweli ?Kuna tofauti kati ya amani na unafiki.
 
Ndiyo kazi zao...
Wapo kwa ajili ya ku-report vile ambavyo wengine hawawezi kuvi-report

Cc: Mahondaw
 
Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki

Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu

ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious usio wa kawaida

wasiwasi wangu ni kwamba media hizi kuwa zina tumika vibaya na mabepali kuhakikisha nchi hai tulii na wao kunufaika na machaguko kama ilivyo kwa nchi nyingi sina ulazima wa kuitaja ..

CNN leo wakutoa repoti mpaka setelite mbona hawatoi hizo ripoti Gaza ,Ukraine ,Somalia sehem kibao kuna hali mbaaya zaidi ila wame tolea macho Tanzania kujaza sumu raia waichukie serikali yako tiifu.

tuwakatae kwa NENO moja hatupo tayari kuvunja amabi tuli ijenga kwa zaidi ya miaka 60 kwasbabu yao.
Really??? Unaishi dunia gani wewe???
 
Hawawezi kufanikiwa, kuna kikundi fulani hakitumii akili ila mihemko na matusi. Kwa style hiyo mtu wa namna hiyo akiumia wala kufariki hutakiwi kumuonea huruma. Amani ya Watanzania ni muhimu no matter the cost, kuliko kuwafurahisha wazungu. Aliwahi kusema Samora Machel M/Mungu amrehemu akiwaambia wananchi wa Msumbiji ukifika wakati mkiona naanza kusifiwa na wazungu mjue nimeanza kuwasaliti, kwahiyo nahapa kwetu ukiona kuna kikundi cha watu ambacho kimejiunga na wazungu ni cha kukiangalia kwa makini na hakipaswi kupewa nafasi hata sekunde moja.
Huyo mama yenu ndiye anayesifiwa na wazungu hadi wakampa rekodi za kimataifa kadha wa kadha.
Hao wazungu mama yenu ndiye anayewakumbatia.
Hao wazungu ndio walimsifia mama yenu na wakamuita mwana diplomasia bora kuliko Magufuli.
Yani hamuna pa kujifichia na hamuna pa kulaumia.
Mara muwasingizie wazungu,mara Wakenya.
Mtatapa tapa sana.
 
Hakuna ulipokanusha kwamba wanaripoti habari za uongo.
 
Back
Top Bottom