Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

Kuna watangazaji kama wamehama na kipindi chao wamehamia Wachafu Fm wote ,juzi wakati natafuta tafuta masafa ya redio nikasikia sauti ya mtangazaji mmoja wa kike na wale wenzake nikajua nipo ile redio nacheki frequence nakuta 88.9 Wachafu Fm ,nikamkazia macho wife nkajua kabadilisha redio bado kidogo nimkate Kofi la uso,maana huwa anachezaga hako ka mchezo ,akikuuliza swali ukijifanya upo busy na kusikiliza radio anabadili frequency. :D :D :D :D :D
Kwahiyo una hasira na wasafi?
 
Hao ni wakina kitenge wamehama na ideals za kipindi cha Sport HQ cha EFM yani unaweza kufungua wasafi asibuhi ukadhani uko EFM hahahaha
 
Mawingu wenyewe wamecopy nchi za nje 😂😂😂😂Acha watu wapate rizki wewe. Kwahiyo na wasafi wasiwe na vipindi vya michezo sababu mawingu wanavyo au taarifa ya habari sababu hiyo. Tena hiyo wasafi festival ilitakiwa iitwe wasafi fiesta sema walitumia ubinadamu 😂
 
Hahahahaha unaongea kwa uchungu arifu
 
Unaonekana tu superwoman imekuumiza sana.. mi nilfkr ungepongeza swala la platform kama hizi za kuinua dada zetu.wee unakimbilia copy and paste kuliko impact ya jambo lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Impact ipi uionayo wewe ni ipi? Hao wanaotaka kunyanyuliwa walishajinyanyua wao kabla hata ya promo za hizo media
 
Kila radio lazima kiwe na kipindi cha michezo,taarifa ya habari mbona hamsemi hivo ni copy and paste?
Hivi radio nyingine isianzishe kipindi cha mapishi kisa kuogopa kucopy wakati mapishi ya ugali ni yale yale.
Radio moja kikiwa na kipindi cha singeli radio nyingine isianzishe kisa radio moja ina hiyo kipindi?

Ata me mwenyewe nashangaa ni sawa nakusema kampuni isianzishe mtandao wa voda kwasababu eti Kuna Kuna kampuni ya Tigo Cha msingi hapo ni kuongeza ubora na utekelezwaji wa hizo ideas utofautiane.
 
Uboreshaji ndo unatakiwa ,kipindi ina tatizo gani wakati majina ya kipindi hayafanani,wanaposema wasafi wameiga sport HQ ya EFM sasa wanataka wasafi wasiwe na kipindi cha michezo?mi naona ni wivu tu kuona wasafi wanaendesha vitu vingi kwa wakati mmoja
Ata me mwenyewe nashangaa ni sawa nakusema kampuni isianzishe mtandao wa voda kwasababu eti Kuna Kuna kampuni ya Tigo Cha msingi hapo ni kuongeza ubora na utekelezwaji wa hizo ideas utofautiane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa Cha habari Cha huu Uzi uliktakiwa uwe"wasafi acheni kuiga undeni vya kwenu" ..maana huu Uzi wasafi ndiyo wameonekana waigaji maarufu mleta mada amesahau hata hao mawingu pia waliiga baadhi ya vipindi kwenye media nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano xxl kuna redio moja hvi inafanya hicho kipindi kule marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom