Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?

Msingi w matatizo unaazia hata kwa jamii husika .Pia mazingira/Sheria zinazotawala hii tasnia zimekaa kushoto kushoto.Kupitia Bunge zipo sheria ambazo ni vigumu kuwepo strong media. Media nyingi zimeanzisha kibiashara tu hivyo utekelezaji wa uandishi makini utajikuta umeingilia ama biashara za watoa matangazo katika hizo media au kugongana na wamiliki.

Jamiii pia imeharibika sana. wanapenda sana vipindi vya udaku udaku na kwa sababu wanapenda hivyo na watoa matangazo wanapeleka matngazo yao huko. Imagine kipindi kama 'ripoti maalum' ya ITV inakosa wadhamini lakini kipindi kama 'Shilawadau' wadhamini wanapigana vikumbo.

Mimi nilianzisha TV Program ya kutazama changamoto za wananchi wa vijijini. nimeenesha program miaka 3 bila udhamini.

Labda wote tuwe formated upya.
 
Pascal Mayalla ni nini kinatangulia kati ya kuwa na waandishi wa habari mahiri au vyombo vya habari huru. Jee inawezekana kukawa na vyombo vya habari huru lakini vikakosa waandishi wa habari mahiri? Au pia inawezekana kukawa na lundo la waandishi mahiri lakini kusiwe na vyombo huru vya habari?

Kama kwetu yote mawili yanakosekana, basi tuna safari ndefu sana kufika huko kwenye kukosoa unakokusema!!
Both scenarios ziko right, kwenye upande wa electronic media, tuna waandishi wa habari mahiri lakini hatuna vyombo huru vya utangazaji. Na kwenye print, tuna magazeti huru ila hatuna waandishi mahiri wa kutosha kuandika criticality na serikali ikaupokea uandishi wao na kuufanyia kazi.

Nakumbuka nikiwa newsroom enzi za Kitimoto tulikuwa very critical but kilichotokea kipindi 'just died', nikiwa mwandishi huru wa kujitegemea kuna TV program niliitengeneza kuhusu ule mgomo wa madaktari. Hakuna TV kilikubali kurusha. Hivyo watu wapo na pia hawapo.

Paskali
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali
Issue hapo si utitiri wa Magazeti au TV bali ni Strong Media kama ulivyoweka kwenye mada. Wewe umetoa mfano wa Marekani jinsi walivyo na uwezo wa kukosoa Serikali kupitia Media, mfano ni Mzuri lakini kumbuka wao pia hawakuanza moja kwa moja hivyo, bali walifight sana kuhakikisha Sheria za Nchi haziweki Mwanya wa Watawala kudhibiti vyombo vya habari hasa katika maeneo mbalimbali likiwemo hilo la kutoa kasoro kwa Serikali. Sisi Tanzania kwa sasa tuna vyombo vya habari ambavyo vina uwezo wa kukosoa Serikali lakini ndivyo hivyo ambavyo kila kukicha vipo mahakamani vikishitakiwa kwa kosa la ama uchochezi au kumtukana Rais, sitaki kuvitaja majina lakini itoshe kusema kuwa suala hapa si utitiri wa vyombo bali ni matatizo ya sheria za Nchi ambayo ni kikwazo kwa wanahabari kuikosoa Serikali.
Jambo lingine ni Umiliki wa Vyombo, katika tasnia hii kuna wajasiriamali ambao ni wanasiasa, kwa hiyo ni matatizo sana kufikia haraka Tanzania yenye vyombo vilivyo na nguvu ya kukosoa bila upendeleo au woga.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali
Issue sio utitiri wa vyama...
Issue sio utitiri wa Media....
Issue ni hilo neno Strong...,tunaweza kuwa na huo utitiri lakini tukawa na Strong media among huo utitiri,na tatizo letu kwanza ni wamiliki wa Media wenyewe hutegemea wako mlengo gani. Pili ni nyie waandishi,wengi wenu mnaushabiki na njaa ndo vinawamaliza mpaka kujikuta mnakuwa wapotoshaji zaidi ya wakosoaji,waelimishaji na wapashaji. Mwisho kuna wenye mamlaka yao nao imekuwa tatizo,hawataki kuona Media zinakuwa huru kama inavyotakiwa na matokeo yake ukijumlisha yote hayo unakuta Media mfu.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali

Mimi sidhani kuwa hatuna "strong media". Tatizo je, serikali inakubali kwa dhati kabisa kukosolewa? Kama ndiyo, kwa nini hizo sheria zinazoitwa "kandamizi" zimepitishwa na kuanza kutekelezwa wakati baadhi ya sheria zinazohitaji marekebisho ili ziendane na hali ya sasa zinachukua muda mrefu bila kuonyesha uharaka huohuo?
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali

Mkuu Paskali, najiuliza hivi ruksa ya kuikosoa/ kuishauri serikali anatolewa na waziri? Au ipo kwa mujibu wa sheria? Itafika siku atasema wewe wa gazeti la Uhuru, Mzalendo, Tbc, clouds, daily news ruksa. Wakosoaji/washauri wa kweli NO. Unataka 360 feedback halafu unatoa masharti kwamba unataka feedback nzuri tu, au pale unapojisikia. Hii si sawa ni upuuzi mtu mmoja kuamua when people should give feedback on the government performance. . Na hii tabia pia anayo mkuu mwenyewe na alitishia baadhi ya magazeti siku zao zinahesabika. Woga wa kukosolewa mbaya sana huwezi endelea kwa kusifiwa kufanya mazuri tu. Huko nikujikomba. .
 
Duniani kote kila mtu anaanzisha media zake kwa faida zake hususani propaganda, mambo ya uhuru wa habari na media kuwa fair ni ndoto tu za mchana

Kwanza si kweli kwamba Pascal ni mwandishi nguli wa habari, ni juzi tu tulikua na mkutano wa wahariri na Ali Mohamed wa Jicho pevu akasema kuwa pasipo Investigative Reporting hakuna uandishi wa habari. Na ndipo aliposema categorically kuwa media houses in Tanzania are Public Relations firms. This is exactly what the likes of Pascal Mayalla are, katuambia juzi alifanya invetigation ya mgomo wa madaktari, iko api hiyo report, eti wallikataa kuchapisha, ( zooo), haya walikataa wakina nani? Ripoti ya Mohamed Ali wa Jicho pevu kuhusu mauaji ya wakenya na state agencies, ime ripotiwa na Aljazeera. Huyu PR uchwala ndio huyo juzi anatuambia habari ya sisi kumuonea wivu Makonda, can you imagine? Njaa Njaa Njaa, vipindi vyake vya mashirikia ya umma, kuwapamba nakuwasifia ndio yeye anaviita uandishi wa habari? juzi kaambiwa yeye ni njaa mkuuu hakukosea anawajueni. Wakati wa Mswada wa Habari mlimiskie pale kwa Chilala akijamba cheche kusema eti muswada unamakosa kidogo, mchumia njaa hata siku moja hawezi kuwa shujaa. Acha wakina Kubenea waongee wewe, shut up and put up with the food you are putting on the table, acha wanaume wongelee ukombozi wa nchi hii, wewe mwenzetu endelea kuchekacheka kwenye tv
 
Mkuu umempa ukweli wake leo. Njaa inasumbua sana.
 
Naona jamaa akili zimeanza kumrudi, juzi tu alikuwa anatetea vyetib@shite ila kwa kua jamaa katorokea bondeni na hakuna tena mlungula, sasa njaa imeshika hatam mpaka kwenye ubongo na sasa zimemrudi.

Kweli njaa haina baunsa
 
Wanabodi,

Declaration of Interest: Mwanzisha Mada ni Mwandishi wa Habari Mstaafu ambaye amehudumu kwenye tasnia hii kwa miaka 27, hivi sasa ni mstaafu akiendelea kuhudumu kama Mwandishi/Mtangazaji was Kujitemea kupitia kampuni ya PPR.

Serikali zote duniani huendeshwa na mihimili 3 ambayo ni rasmi, Serikali, Bunge na Mahakama, ila kuna mihimili wa nne ambao ni mihimili usio rasmi, huu ni mhimili wa Media, The Fourth Protocol.

Waziri wa Habari Mhe. Nape Mnauye ametoa ruhusa kwa media kuikosoa Serikali. Ili hili liweze kufanyika kwa manufaa na kuleta tija, lazima kwanza tuwe na Independent Stong Media na tuwe na waandishi mahiri ambao ni ma Iconic figures akiandika "This is wrong", Serikali itasikiliza.

Swali ni jee Tanzania tunazo hizo strong media?, jee tunao hao strong journalists wenye uwezo wa kuikosoa Serikali na Serikali ikawasikiliza? .

Kama tunazo ni zipi? . Kama hatuna kwa nini hatuna strong media?. Na jee hao waandishi strong journalists tunao?, ni kina nani wakiandika au wakisema Serikali itasikia, itabadilika?.

Mifano ya Strong Media.
US wana strong media. Wana vyama viwili vikuu vya siasa The Democrats na The Republican. Wana magazeti makuu mawili, The New York Times na The Washington Post. Pia wana TV mbili kubwa CBS na ABC.

UK pia wana Strong Media. Wana vyama vikuu viwili vya siasa, Labour na Conservative. Wana gazeti moja kuu, The Daily Telegraph. Wana radio moja kuu na TV moja kuu, BBC.

Sisi na huu utitiri wa vyama, utitiri wa magazeti, utitiri wa TV stations na utitiri wa magazeti, jee tuna any strong media ndani ya utitiri huu?.

Paskali
Mkuu Paskali. Kwa muktadha wa mada yako, kuna mambo matatu, kwa maoni yangu, ni lazima yaende pamoja ili kupata matokeo: Kuwe na strong journalists, strong media & strong audience. Ni bahati mbaya sana, hapa Tanzania tunao strong journalists na strong media (print) lakini tunakosa strong audience!
 
Kwa madhumuni ya kuikosoa serikali hakuna strong jounalist katika nchi yetu.

labda kupitia hizi Fake IDs, Jf inaweza kuwa hivyo. Viongozi wengi wa kiafrika, Tanzania ikiwemo hawapendi kukosolewa, kukubali ukweli pale walipokosea.

Sana sana watamtafuta aliye wakosoa, watamuonya, au watamdhuru hata kupoteza uhai wake.

Sasa jaribu kufikiria, media ipi iko tayari kupoteza usajili, kufungiwa, au kufutwa kabisa?
ni mwandishi gani wa habari yu tayari kudhurika, kuuawa?

japo zipo media na baadhi ya journalists waliojaribu kufanya hivyo, bado zilionja ladha chungu ya sirikali.
 
Elimu yetu haifundishi critical thinking. Hivyo, huwezi kupata jamii yenye watu wanaohoji mambo. Pia, huwezi kupata waandishi mahiri wanaochambua na kuhoji mambo. Tatizo haliko kwa waandishi pekee bali jamii nzima kwa ujumla wake. Msingi wa tatizo ni elimu yetu inayofundisha kukariri na kufaulu mitihani, badala ya kusisitiza kuelewa mambo na kuuliza maswali sahihi. Huwezi kuuliza maswali sahihi kama umekariri tu mambo.
 
Devide ana rule, serikali yenyewe inachekelea tu vi utitiri vingi vya vyama, TV, Redio lukuki, nyingine ni kupiga mziki na majungu ya mtaani mwanzo mwisho, hence kutengeneza taifa la wasioelewa mambo ambao ni rahisi kutawaliwa maana hawana uwezo wa kuhoji.
 
Kwanza si kweli kwamba Pascal ni mwandishi nguli wa habari, ni juzi tu tulikua na mkutano wa wahariri na Ali Mohamed wa Jicho pevu akasema kuwa pasipo Investigative Reporting hakuna uandishi wa habari. Na ndipo aliposema categorically kuwa media houses in Tanzania are Public Relations firms. This is exactly what the likes of Pascal Mayalla are, katuambia juzi alifanya invetigation ya mgomo wa madaktari, iko api hiyo report, eti wallikataa kuchapisha, ( zooo), haya walikataa wakina nani? Ripoti ya Mohamed Ali wa Jicho pevu kuhusu mauaji ya wakenya na state agencies, ime ripotiwa na Aljazeera. Huyu PR uchwala ndio huyo juzi anatuambia habari ya sisi kumuonea wivu Makonda, can you imagine? Njaa Njaa Njaa, vipindi vyake vya mashirikia ya umma, kuwapamba nakuwasifia ndio yeye anaviita uandishi wa habari? juzi kaambiwa yeye ni njaa mkuuu hakukosea anawajueni. Wakati wa Mswada wa Habari mlimiskie pale kwa Chilala akijamba cheche kusema eti muswada unamakosa kidogo, mchumia njaa hata siku moja hawezi kuwa shujaa. Acha wakina Kubenea waongee wewe, shut up and put up with the food you are putting on the table, acha wanaume wongelee ukombozi wa nchi hii, wewe mwenzetu endelea kuchekacheka kwenye tv
Mkuu Nndondo, kwanza umechanganya unguli na ushujaa, unguli unatokana na long experience ya uzoefu wa muda mrefu. Kitendo tuu cha kuhudumu kwenye sekta ya media kwa miaka 27 ni muda tosha wa kuwa nguli, yaani ni mbobezi niliobobea. Hata hivyo ubobezi na ushujaa ni vitu viwili tofauti. Neweza kuwa nimehudumu 30 years with nothing tangible, na akaibuka dogo akahudumu kwa mwezi mmoja tuu na akawa shujaa. Ushujaa wangu ungepimwa katika hiyo huduma yangu kwa miaka 27 jee nilifanya nini cha maana na chenye impact kwa jamiu kustahili kuitwa shujaa?. Sasa hayo ni mengine, self glorificación sio lengo la mada hii, mada ni kuhusu uwepo wa strong media na strong media men wenye the ability and the capacity kuikosoa serikali na serikali ikasikia na hoja sio mtangazaji Pasco Mayalla.

Baada ya kuendesha kipindi cha "Mada Moto" then 'Kiti Moto", nilipata uzoefu wa kutosha kujua ni kwa kiwango gani serikali inaweza kustahimili criticism na media gani zinaweza na media gani haziwezi. Hivyo nilipoandaa kipindi cha mgomo wa madaktari, I had that in mind na nilijua kipindi kinaweza kurushwa na TV gani, lakini kilikataliwa!.

Hii ya kuniita PR uchwala naikubali kwa sababu uchwala ni relative, hata Magufuli kuna watu wamemuita ni rais uchwala huku kuna watu hadi nchi zinemuona ni rais wa kupigiwa mfano wengine wakiomba kumuazima awanyooshe tuu nchi zao japo kwa miezi michache tuu.

Makala zangu kuhusu wivu wenu dhidi ya mafanikio ya Makonda ni baadhi tuu ya my pieces of literature, kama huna uwezo wa kusoma "in between the lines, you just have completely missed the point.

Pole.

Paskali
 
Pamoja na mapungufu mengine yaliyopo, njanjaa zenu ni tatizo kubwa sana.

Waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari mmeshindwa kutambua kabisa watawala hawana urafiki wa kudumu na media bali wanachoangalia ni maslahi yao kupitia media namna gani yanalindwa.

Hata hivyo,kuna waandishi wachache wanaostahili pongezi kwa kusimamia maslahi ya Taifa.
Mkuu Salary Slip, kwanza nakubaliana na wewe kiasi fulani kuwa media ya Tanzania inakabiliwa na umasikini uliotopea na fani imevamiwa na ma kanjanja wanao practice "petty cash journalism". Journalism ni nobel profesional ambapo waandishi wa kweli ni kazi ya wito not for gain!.

Ni kweli watawala wanapenda kuitumia media for the gain only to their advantage and they take a good care ya media zinazowafanyia kazi nzuri huku they can't stand criticism, huku media nyingi private zikiwa ni bussiness za watu kwa lengo sio la kuhudumia jamii bali kutengeneza faida kupitia biashara ya habari zikitegemea serikali for their survival kupitia matangazo, hivyo kuwa critical ni kama kulikata tawi ulilokalia.

Lakini umesema jambo moja zuri sana kuhusu uwepo wa waandishi wachache wanao simamia maslahi ya taifa. Sasa hawa wachache ndio mashujaa wetu, wanastahili pongezi na wapongezwe.

Paskali.
 
Mkuu Nndondo, kwanza umechanganya unguli na ushujaa, unguli unatokana na long experience ya uzoefu wa muda mrefu. Kitendo tuu cha kuhudumu kwenye sekta ya media kwa miaka 27 ni muda tosha wa kuwa nguli, yaani ni mbobezi niliobobea. Hata hivyo ubobezi na ushujaa ni vitu viwili tofauti. Neweza kuwa nimehudumu 30 years with nothing tangible, na akaibuka dogo akahudumu kwa mwezi mmoja tuu na akawa shujaa. Ushujaa wangu ungepimwa katika hiyo huduma yangu kwa miaka 27 jee nilifanya nini cha maana na chenye impact kwa jamiu kustahili kuitwa shujaa?. Sasa hayo ni mengine, self glorificación sio lengo la mada hii, mada ni kuhusu uwepo wa strong media na strong media men wenye the ability and the capacity kuikosoa serikali na serikali ikasikia na hoja sio mtangazaji Pasco Mayalla.

Baada ya kuendesha kipindi cha "Mada Moto" then 'Kiti Moto", nilipata uzoefu wa kutosha kujua ni kwa kiwango gani serikali inaweza kustahimili criticism na media gani zinaweza na media gani haziwezi. Hivyo nilipoandaa kipindi cha mgomo wa madaktari, I had that in mind na nilijua kipindi kinaweza kurushwa na TV gani, lakini kilikataliwa!.

Hii ya kuniita PR uchwala naikubali kwa sababu uchwala ni relative, hata Magufuli kuna watu wamemuita ni rais uchwala huku kuna watu hadi nchi zinemuona ni rais wa kupigiwa mfano wengine wakiomba kumuazima awanyooshe tuu nchi zao japo kwa miezi michache tuu.

Makala zangu kuhusu wivu wenu dhidi ya mafanikio ya Makonda ni baadhi tuu ya my pieces of literature, kama huna uwezo wa kusoma "in between the lines, you just have completely missed the point.

Pole.

Paskali

Nashukuru sana kwa kunipa heshima ya kunijibu. Kwanza nashukuru umetupa track yako ya u media, ambayo imenisaidia ku confirm kuwa ni kweli wewe si muandishi wa habari. Kuwa host wa kipindi kinacholeta magwiji sio kuwa muandishi wa habari. Ni sawasawa na kumuita Zembwela Muandishi wa habari, kama tulivyomuuliza makonda, tuletee track yako ya uandishi wa habari, investigative na public interest, Maxence hajawahi kujiita muandishi wa habari, pamoja na kuwa na kuwa na uwezo mkubwa sana wa kuwakutanisha watu kuzungumzia habari. Zile habari sio zake, ni sawa na wewe, kiti moto hakikuwa investigative work yako, wale madiwani wa ccm wanaotoka kibaha na wazalendo wengine walikua wanatulietea scops tu, sio wewe. Pili nashukuru pia kuwa miaka yako 27 ya kukaa studio, not even press room, haitoshi kukuita muandishi wa habari. Ni sawa na kutuambia kuwa kwa kuwa unakaa karibu na mahakama basi wewe ni mwanasheria. Ndio maana karani wa mahakama aliyekaa mahakamani miaka 30 haitwi mwanasheria. Swala la Makonda haliweze kuwa your piece of literature, ni swala linalohusu integrity ya Taifa la Tanzania na kitu kinachoitwa Good Governance, sio mambo ya opinion zako, ulitakiwa ujue hata hilo kabla hujaingiza ujikombi wako, kwenye mambo serious. Once again, usipende kujikwaza sana na kujifanya mjuaji, neno linasema, ajikwezaye atashushwa, kwanini kama huna point lazima tu uongee, jitambue kuwa wewe sio opinion leader kwenye sekta ya media, kwanza sidhani hata kama unazo qualification zaidi tu ya ujanja ujana fulani, kama we bingwa weka vyeti vyako hapa tuone kama walau diploma ya uandishi, sana sana pengine una certificate ya Royal bahati kama una ya TSJ. (over) nakusubiri!
 
Duniani kote kila mtu anaanzisha media zake kwa faida zake hususani propaganda, mambo ya uhuru wa habari na media kuwa fair ni ndoto tu za mchana
Mkuu Mkaruka, hii ni kweli kwenye private media lakini kuna public media paid by taxpayers money, inatakiwa to save the public and not the government.

Kwenye sheria yetu ya habari, sheria imetambua makundi mawili tuu, public media na private media. Kwenye Public Media, wameweka Government Media only wakimaanisha hata TBC ni chombo cha habari cha serikali!. Kiukweli TBC ni chombo cha habari cha umma, public media, kinawajibika kwa umma wa Watanzania na sio kwa serikali, vyombo vya serikali ni Habari Maelezo, Daily News na Government Gazette (GN).

TBC ndio inayotakiwa kuwa strong media kuihudumia jamii na kuikosoa serikali. Lakini kwa TBC yetu hii hili linawezekana? . Niliamini Dr.Ayoub Rioba amepelekwa pale kwa sababu alikuwa very critical lakini... labda tumpe muda zaidi.

Paskali.
 
Back
Top Bottom