Mechi saba za NBC PL zahairishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Kimataifa

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye picha
IMG_9144.jpeg
 
Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye pichaView attachment 2849869
Mechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?

Kuna Faisal Toto na Mudathir Yahya si wachezaji wa Tanzania?

Ndo maana sishangai kuna wanaosema ni siasa.

Kaazi kweli kweli.
 
Mechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?

Kuna Faisal Toto na Mudathir Yahya si wachezaji wa Tanzania?

Ndo maana sishangai kuna wanaosema ni siasa.

Kaazi kweli kweli.
Ukishapata jibu la hilo swali lako litunze kesho unywee chai
 
Bodi ya ligi ni wanaharibu sana mpira leo boxing day tushazoea gemu wao wamekuja na mguu wao mpya zipo Timu zimecheza mechi 14 na zingine 10 harafu bado wanaendelea kupoteza muda ili huko mbele watu wapange matokeo...
 
Back
Top Bottom