Mecca ndio mji bora duniani

Kama ni kukariri ina maana tumesoma mahali kisha tukakariri.


Chukua tufe ama ramani kisha angalia Mecca iko wapi.....usikariri tu. Kama ni wewe unachora ramani na kutaka Tanzania iwe kati ya dunia unaweza fanya hivyo pia, ndiyo maana nimesema msikariri tu vitu inabidi muelewe. Mecca kiualisia HAIKO kati kati ya dunia, hii ni Imani potofu tu.
 
weka ushahidi Ibrahim aliwahi kukanyaga mecca na kuweka msingi msikiti wa al aqsa
 
Iko pembeni mwa dunia?
 
Yes, kama ufanyavyo wewe. Yaani unaaminishwa kitu usichokijuwa kisha una kopi then unapaste. Kuna maana nyingine zaidi ya hapa?
Kama ulivyoaminishwa wewe kwamba Yesu alipaa na ukaamoni kumbe ni uongo mtupu!
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Vipimo ulivyotumia vyote ni vya kidini. so kusema ni mji ni kwa vigezo vya kidin bado haijajitosheleza.
Mji bora kwa mika ya sasa ni mji ambao una accomodations zote, ulioendelea katika kila nyanja na ulio na mifumo bora ya kimaisha iliyomo ndani ya mji husika.
Na pia mchango wa mji husika katika pato la taifa.
 
Kama ulivyoaminishwa wewe kwamba Yesu alipaa na ukaamoni kumbe ni uongo mtupu!


Angalia sasa firahuni huyu....kwa kuwa wewe mwenyewe umeleta suala la dini hapa ngoja nikupe somo ujitafakari. Hivi kwa akili yako, unafikiri ukristo na uislam ni dini zetu sie waafrika? Uislam na kitabu chao ni kwa ajili ya waarab tu na ndiyo maana manabii wao wote huko kasoro nabii Issa ni waarab HAKUNA Mtanzania hata mmoja. Kwa ukristu, ndani ya biblia majina yote yaliyomo mule ni ya kiyahudi na kila kitu kizungumzwacho mle ni kwa ajili ya Israel TU wala si Tanzania au Afrika ukiondoa Misri. Hizi dini tuliletewa na kuaminishwa vitu sivyo vyetu huku tukisusa Imani za mababu zetu na ndiyo maana mpaka leo Afrika as a whole tumelaanika kususa mababu zetu kufuata vitu tusivyovijuwa, tunakaririshwa tu na kuvifanya kuwa vyetu. Ni ujinga na upuuzi sana huu na ndiyo maana tunadharauliwa sana. Angalia China, India, na mataifa mengine duniani....hawazitaki kabisa hizi dini za watu wengine kwa sababu hazina tija kwao. Miaka ya nyuma na pia kuna baadhi ya sehemu China mpaka leo hii, ukibainika wewe ni muislam unafungwa ama kuuliwa. Wanataka watu wafuate dini zao za kutukuza na kuabudu mizimu yao. Sie huku kama wewe Malyenge unaona sifa kutukuza dini za watu wa nje na kujishebedua.
 
Isa alikufa?
 
Kuna mambo makuu mawili kwenye hoja yako.
1. Tumelaaniwa kwa kuacha imani za babu zetu
2. China, India nk ukionekana wewe ni mwislam au mkristo unauawa
Hizo hoja zako ni uongo la sivyo:
1. Toa ushahidi sisi tumelaaniwa kwa kuacha imani za mababu zetu na kufuata dini za uislam au ukristo.
2. Toa ushahidi nani aliuawa kwa sababu yeye ni mwislam au kwa kuwa yeye ni mkristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…