Mecca ndio mji bora duniani

Hiyo imeshasahihishwa. Uwe unasoma post za wenzio....
Nasoma posti ya mtoa mada tu. Nikiona amekosea namsahihisha hapohapo, sina haja ya kusubiri mtu mwingine amsahihishe. Kusubiri watu wengine kukufanyia kazi yako ni janga
 
Nasoma posti ya mtoa mada tu. Nikiona amekosea namsahihisha hapohapo, sina haja ya kusubiri mtu mwingine amsahihishe. Kusubiri watu wengine kukufanyia kazi yako ni janga
Sasa wenzio wameshamsahihisha. Au wewe ndio wajiona bora?
 
Kila Kila mahali ni katikati ta Dunia ndugu ...fikiria kwa makini tuu utanielewa.
 
Na mimi nataka taarifa kutoka kwako. Ni wapi ubakaji umekubaliwa?
Sasa ulikuwa unamaanisha nini kusema kwenye Biblia kuna ubakaji mwingi.By the way sijawahi ona kuruhusiwa kwa ubakaji kwenye Qur'an pia.
 
Sasa ulikuwa unamaanisha nini kusema kwenye Biblia kuna ubakaji mwingi.By the way sijawahi ona kuruhusiwa kwa ubakaji kwenye Qur'an pia.
Ndio nilitaka uwafundishe hao wanaong'ang'ania kuwa kwenye Quran ubakaji umeruhusiwa. Wafundishe waelewe kama ambavyo mimi nimekuelewa!
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
kama ndio mji bora wa dunia, si mbaki nao ili muiache Jerusalem kwa wenye nao?hamridhiki mnataka kila mji uwe wenu.
 
Ukijaaliwa kwenda hijja (kama inakuhusu) utapata elimu kubwa zaidi.

inshaallah
utaona jinsi waamin wanavyo mpiga mawe shetani huku wamevaa vipande vya viwili vya vitambaa (ihram) kimoja juu kingine chini bila chupi
hapa ni baada ya kumpiga shetani
wengine hawakurudi makwao
wajuzi mtatupa ilimu kuhusu mu'tah zile ndoa za muda wakt wa hija, na lile jiwe hajarwal...
 
Reactions: PNC
Unachokiandika wala hukijui. Huu uzi utafungwa maana umwkuja mzee wa matusi.
 
Kanisani hamumpigi shetani!
 

Matthew 22:30 At the resurrection they will neither marry nor be given in marriage; they will be like the angels in heaven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…