Mecca ndio mji bora duniani

Unaelewa ulichokijibu isijekuwa naongea na mtu aliyepandisha
 
Hiyo aya imechomekwa. Hamna andiko hilo kwenye Suratul Baqara 2:97 linaliema hivyo ulivyo quote. Tatizo unasoma Quran ya kweny mitandao ambayo ndio imechomekwa maneno na watu kama ninyi ili kupitosha umma..
 
Nimeukiza 28 na siyo 29
8 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
29 Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, kwenye mlima uitwao wa Mizeituni, alituma wawili katika wale wanafunzi,
30 akisema, Nendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mtakapoingia ndani mtaona mwana-punda, amefungwa, ambaye hajapandwa na mtu ye yote bado, mfungueni mkamlete hapa.
31 Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
 
Hiyo aya imechomekwa. Hamna andiko hilo kwenye Suratul Baqara 2:97 linaliema hivyo ulivyo quote. Tatizo unasoma Quran ya kweny mitandao ambayo ndio imechomekwa maneno na watu kama ninyi ili kupitosha umma..
Dawa ishaingia

MIMI NAISHIA HAPA ILA NAJUA UKITAFAKARI LAZIMA UTAPATA JIBU SAHIHI asante
 
Mwa higo Yesu aliiba punda wa watu hapo kwenye 19:31?
 
Ndio maana nakuambia umekariri ubaya wa uislamu alikuambia baba ako ambaye na ye alikaririshwa na babu yako...
NB: uislamu ni dini pekee ya mwenyezi Mungu haina walakini ndani yake imeeleza na kugusa kila sehemu katika maisha.
Jifunze bila jazba
Dini ya kweli ni dini inayomjali yatima, mgonjwa, mjane, haimsaidi mungu kuhukumu
 
Dawa ishaingia

MIMI NAISHIA HAPA ILA NAJUA UKITAFAKARI LAZIMA UTAPATA JIBU SAHIHI asante
Dawa itaingia vipi kwa maandiko ya uongo? We swma unakimbia. Quran 2:97 tumeshuhudia umeleta andiko la uongo. Sasa kwa maandiko ya uongo unategemea nini hapo zaidi ya kujaza uzwazwa kichwani?
 
Kwani mkuu Mtume Mohamed alifia wapi? alifia Maka, madina au Yerusalem? alizikwa wapi?
 
Naona umeanza kuyakataa maandiko ya mkitabu wako sasa ngoja nikuwekee na picha uikataeView attachment 688012
Hata hiyo 2:98 haisemi hivyo.
Soma hapa inavyosema:
"Anayemfanyia ushinde Mwenyezi Mungu na Malaika wake na mtume wake na Jibril na Mikail (anatafuta kuangamia) kwani Mwenyezi Mungu atakuwa mshinde wa makafiri hao".
 
Mecca ni katikati ya dunia kutoka wapi? hili mie nalipinga kwani halina ukweli hata chembe (labda unafafanue).
Waliokwenda na kurudi 'matendo' mbona yanakuwa yaleyale?
 
Mecca ni katikati ya dunia kutoka wapi? hili mie nalipinga kwani halina ukweli hata chembe (labda unafafanue).
Waliokwenda na kurudi 'matendo' mbona yanakuwa yaleyale?
Umechanganya mada. Wewe unataka ukweli wa Mecca kuwa katikati ya dunia. Sasa matendo yanahusiana vipi na mji kuwa katikati ya dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…