Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Sasa tofauti iko wapi? Mbona hiyo hijja haifanyikii Mkuranga?Wayahudi hawatambui imani yako...
Vitu Vingi mnavyofuata ni vya kibinadamu..
We mchaga unamfuata martin Luther eti rutheran kazi kweli
kwani mtume alipanishwa peponi au mbinguni? jibuKabla hujajibiwa Mbinguni ndio nn? Au unazungumzia pepo?
Kwani maandiko mangapi mnapewa lakini mnajifanya vipofu? Kwa taarifa majini ndio viumbe wa kwanza kumwita Yesu ni mwana wa Mungu......baada ya hapo ndio na ninyi mkayafuata majini kumwita hivyo Yesu. Yaani majini ndiyo yaliyomwamini Yesu kuwa ni mwana wa Mungu ndipo nanyi mkayafuata. Kabla ya hapo mlikuwa hamumjui Yesu kuwa ni mwana wa Mungu mpaka majini yalipowafundisha.Toa hilo andiko kuonyesha kiumbe wa kwanza kumuamini Yesu alikua ni jini,majini yanamuogopa Yesu na hata shetan anajua hilo,peleka majini kwenye kanisa lenye moto uone kama yatakaa...acha upotoshaji.
Huu uzi hauniusu kwa kweli, naona komenti zote ni za kimhemko tu...Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Na wewe jibu......Yesu yuko mbinguni au peponi?kwani mtume alipanishwa peponi au mbinguni? jibu
Ila ungetajwa Jerusaleem ingekuhusu kisa unadhani ni mji mtakatifu wa kikristo?Huu uzi hauniusu kwa kweli, naona komenti zote ni za kimhemko tu...
Mji mtakatifu wa kikristo ni Vatican!Huu uzi hauniusu kwa kweli, naona komenti zote ni za kimhemko tu...
AiseeMji mtakatifu wa kikristo ni Vatican!
Haifai kujibizana nao hao. Watu wasiojua hata wanachoamini. Kwa mana hapo umesifia mji. Wao povu la nini. Siilikua wapiga kimya tuKabla sijajibu soma thread yangu@ nyie ukiguswa uislamu lazima mtoe kashfa tu....thread yangu iko very crear ila nyie bwana...sipendi malumbano kwa sasa...
Mkuu wakristo wakionaga mada inayohusu uislam huwa wanaanza matusi na hoja mbovumbovu. Hakuna mahala waislam huanzisha matusi bali wakristo hupenda sana kuanzisha matusi. Hasa matusi yasiyo na ushahidi. Mara utasikia wanamtukana Muhammad malaya, mara mbakaji.....bila ushahidi. Wana vihoja uchwara vya kuungaunga tu. Ukiwaambia walete ushahidi watakuletea ushahidi wa wikipedia au articles kutoka mtandaoni. Hao ndio wakristo wa Tanzania......Hivi watanzania itafika siku tuweze kujadili au kuchangia kitu bila kashfa na matusi!?
sasa waislamu mkisha wakashifu wakristo na wakristo wakakashifu Uislamu NANI ANAPATA FAIDA YA AINA YYT HAPO?
Binaadamu mwenye akili timamu hubadilika siku hadi siku na kuelekea kwenye uungwana na nidhamu lkn sisi watanzania utafkiri tuna laana flani.
Mungu tuokoe na ujinga.
Umesema alizikwa madina vilevile imesemwa alienda Jerusalem akapaa mbinguni, embu nifanunulie.Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.
Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Mtakatifu kwa Roman CatholicMji mtakatifu wa kikristo ni Vatican!
Leo nimekupa Big likeHivi watanzania itafika siku tuweze kujadili au kuchangia kitu bila kashfa na matusi!?
sasa waislamu mkisha wakashifu wakristo na wakristo wakakashifu Uislamu NANI ANAPATA FAIDA YA AINA YYT HAPO?
Binaadamu mwenye akili timamu hubadilika siku hadi siku na kuelekea kwenye uungwana na nidhamu lkn sisi watanzania utafkiri tuna laana flani.
Mungu tuokoe na ujinga.
Ukristo maana yake ni Uroma. Haya madhehebu mengine hayana chao...Mtakatifu kwa Roman Catholic