Mecca ndio mji bora duniani

Nafikiri watanzania WA Imani mbalimbali tulikuwa tunavumiliana HADi walipotokea "" wanaojua imani zaidi""
Nakumbuka tulikuwa hatuchinji wenyewe HADi tumualike jirani muislamu, ili asishindwe kuja Kula na sisi

Lakini mhh
SIKU hizi mambo yanaamuliwa kutokea Kwa Halifa wa dola
 
Yote hayo ni mashirika ya kijasusi ya Marekani. Upo?
Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaB ni Kuwa wanaua maajent wao

Fafanua zaidi mkuu
Ni vzr kuexhaust maelezo Ili tukuelewe vzr, binafsi Sijaelewa point yako
 
Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaa ni Kuwa wanaua maajent wao

Fafanua zaidi mkuu
Ni vzr kuexhaust maelezo Ili tukuelewe vzr, binafsi Sijaelewa point yako
Nifafanue nini kwani hamjui? Mbona ninyi ni mabibgwa wa ku google mkapata maelezo ya mtume Muhammad. Mnashindwaje kuelewa kuhusu ugaidi?
 
Duh, kwa hiyo drone za kimarekani zinapowatungua alshabaB ni Kuwa wanaua maajent wao

Fafanua zaidi mkuu
Ni vzr kuexhaust maelezo Ili tukuelewe vzr, binafsi Sijaelewa point yako
Aliyekwambia drone huwa zinaua magaidi ni nani? Huwa wanaua viongozi wa kiislam kwa kisingizio wanamua kiongozi wa alshaabab etc.
 
Hayo majini samuli yalisikia ile sauti iliyo sikika kutoka mbinguni baada ya Bwana Yesu kubatizwa. Unapotezea mistari hii kama vile huioni kwenye Biblia. Kuwa sauti kutoka mbinguni ambayo ilishuhudiwa kwa kusikiwa na walio kuwepo na pia kama ulivyo sema mnyewe, hawa majini wenu.

Na hivi ndivyo utendaji wa Mwenyezi Mungu ulivyo hauachi shaka yeyote. Huyu mtume tunaye ambiwa wa mwisho alishuhudiwa au alitabiriwa na nabii yupi?

Maana hata mtume Paulo mumuitaye jahili alishuhudiwa pasipo shaka yeyote.



 
Wapi hakuna anayeifuata? Makkah kuna lango la kwemda jehanam tu na si kingine. Ndiyo maana shetani kaweka makaazi pale kila mwaka mnaenda hija ili kumpiga na vijiwe vidogo kama karanga kama mazuzu vile.
Umenena mkuu
 
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Kwa mujibu wa vipimo vya uislam na tamaduni zake; lakini kupitia jicho huru, Jerusalem ndio eneo bora kuliko yote duniani maana hapo ndipo manabii wote kuanzia Ibrahim walipata kufanya ibada, ni mahala palipokuwa pakitunza vitabu vitakatifu vya manabii wote hadi amri kumi za Mungu zilizoandikwa kwa 'mkono wake'.
Toka zaidi ya miaka 6000 pamekuwa patakatifu na kila wakati panafanyiwa hija.
 
Toa hilo andiko kuonyesha kiumbe wa kwanza kumuamini Yesu alikua ni jini,majini yanamuogopa Yesu na hata shetan anajua hilo,peleka majini kwenye kanisa lenye moto uone kama yatakaa...acha upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…