Me, Tricia, Susan, and Suzanne...The Encounter!

o.jpg
o.jpg
o.jpg
.
Hapo ndo wabantu huwa tunapishana na watu wa ughaibuni..... hiyo picha ya kwanza tuu ndo naiongelea. .....

Ughaibuni watu wanakula zaidi nyama au protein na vitamins kuliko starch au ugali na viazi. Huku ubantuni sie tunakula zaidi wali/ugali /viazi kuliko nyama au kitoweo au vitamins nikimaanisha mboga mboga na matunda.
Happy Saturday and Sunday to you JJ.
 
What up Kasie babe?

Is everything copacetic in your neck of the woods?

Wanna know what really went down at Del Frisco's Grille?
 
Kasie we unapenda kula mnofu wa sarara?

ts022.jpg
 
Kasie we unapenda kula mnofu wa sarara?

ts022.jpg

Hahahahahhaa you know how silly Kasie is......

Napenda mnofu wako zaidi kuliko huo mnofu wa sarara if at all I have to choose......

Ila napenda sana siku unayoamuaga kunipikia barbecue. ... minofu inakuwaga mitamu sana.....

Ai labuu yuuu. ... you know that hahaa

Muah!!
 
What up Kasie babe?

Is everything copacetic in your neck of the woods?

Wanna know what really went down at Del Frisco's Grille?

Am cool darling....

Yeah wanna know every second that count in Del... what what.. finish that Latin word yourself looh hehehhe
 
Hahahahahhaa you know how silly Kasie is......

Napenda mnofu wako zaidi kuliko huo mnofu wa sarara if at all I have to choose......

Ila napenda sana siku unayoamuaga kunipikia barbecue. ... minofu inakuwaga mitamu sana.....

Ai labuu yuuu. ... you know that hahaa

Muah!!

There you go my silly rabbit.

image_1555531.jpeg

What sauce do you want me to rub on your steaks?

Billboard_Final.jpg
 
KUMRADHI SANA MZEE NYANI..
NILIKU CHANGANYA NA JAMAA MMOJA ANAITWA MTAMBUZI...
UNAMJUA?????

NIME CROSS CHECK HAPA NIMEGUNDUA NIMEKUKOSEA MKUU WANGU CHIEF KIONGOZI..
KUMRADHI..

#Chief Eng

Hapana shida.

Aietidhar maqbul.
 
There you go my silly rabbit.

image_1555531.jpeg

What sauce do you want me to rub on your steaks?

Billboard_Final.jpg

Please coat with Classic Sweet and Thick Sauce..... I'll have pepper and lemon aside to dress the barbecued corns.
 
KUMRADHI SANA MZEE NYANI..
NILIKU CHANGANYA NA JAMAA MMOJA ANAITWA MTAMBUZI...
UNAMJUA?????

NIME CROSS CHECK HAPA NIMEGUNDUA NIMEKUKOSEA MKUU WANGU CHIEF KIONGOZI..
KUMRADHI..

#Chief Eng
Niwekee link mkuu. Naona ilinipita hii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo ndo wabantu huwa tunapishana na watu wa ughaibuni..... hiyo picha ya kwanza tuu ndo naiongelea. .....

Ughaibuni watu wanakula zaidi nyama au protein na vitamins kuliko starch au ugali na viazi. Huku ubantuni sie tunakula zaidi wali/ugali /viazi kuliko nyama au kitoweo au vitamins nikimaanisha mboga mboga na matunda.
Happy Saturday and Sunday to you JJ.
Ni hali ya uchumi, huwezi kuamini yule kuku mmoja anachinjwa na familia nzima mnashiba familia ya watoto 6, baba mama, housegirl na mjomba amekuja kusalimu.
 
yan nawe unasapoti kabisaaaaa? huoni hivo sivo?
 
Back
Top Bottom