Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
We mbona unakua mkorofi? Kule umetoka kumchokoza mshana,umehamia huku sasapole sana itabidi uendelee kutawaza wazee wa kizungu lakini wewe sijui nani atakuja kukutawaza
We mbona unakua mkorofi? Kule umetoka kumchokoza mshana,umehamia huku sasapole sana itabidi uendelee kutawaza wazee wa kizungu lakini wewe sijui nani atakuja kukutawaza
siogopi uchawi mieWe mbona unakua mkorofi? Kule umetoka kumchokoza mshana,umehamia huku sasa
Duuh sikujua kama hiyo homa ni kali hivyo na imekuwa chronic kwa watu wengi duuh. Itakuwa hiyo homa inaambukiza naona wanaambukizana kila leo.
Hahahahahhaa labda MSD watasaidia kuwapa dawa ya hiyo homa walau watulize maumivu na homa.
We mbona unakua mkorofi? Kule umetoka kumchokoza mshana,umehamia huku sasa
Uchawi unahusianaje na hiki unachofanya?siogopi uchawi mie
tatizo nyie mkiwatukana watu ni sawa lakini nyie mkiambiwa ukweli mnaanza maneno ya sokoniJF never cease to amaze
Uchawi unahusianaje na hiki unachofanya?
sasa si ukubali yaishe maana nataka nimalizie bia zangu na mkia wa ngombe halafu naenda kugegeda mtoto anafanana na weweJF never cease to amaze
beef na masaloNew ID... special kwa beef.
Hebu achana na mtu ambae hajakukosea....we huoni unavyomshobokea mushana yote hiyo ni nguvu ya giza jamaa lilikwenda kuzimu mara mbili wew huogopi nakushangaa
watu tunakumendea kwa upole halafu unachukuliwa kwa mazingaumbeUchawi unahusianaje na hiki unachofanya?
Kwakweli,sio kwa hali hii aliyonayoNew ID... special kwa beef.
Utakua umevurugika wewewatu tunakumendea kwa upole halafu unachukuliwa kwa mazingaumbe
Utakua umevurugika wewe
Afu kama namhisi hivi. Sio KARANJA huyu kweli?Hahahaaaa, kama kidogo. Rejection hurts.
Ok... Next time kunywa kwa starehe zako. Sio unakuja kuvamia watu na starehe zetu humukalanja ndo mtaa gani jamani namalizia bia zangu niacheeni nmechka mie
pamoja mkuuI just read your comments. You're my new favorite member on JF. Cheers [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Pamoja na kuwa vitu tunavyo vingi lakini bado hatujafikia uwezo wa kuzalisha kwa uwiano wa watu tulionao. Fikiria idadi tu ya watu wanaoishi Kariakoo wewe na uwezo wa kula 1/4 kwa mtu mmoja kwa siku moja ni ng'ombe wangapi? Pia uchumi wa watu kumudu hiyo sh.2,500 kwa 1/4 ya nyama bado.
Ni kweli sister Kassie, ufugaji wa kisasa unasaidia pia kuleta unafuu wa bei, quantity brings the price down, na hii inapelekea kuku kuwa nyama ya bei rahisi kuliko zote. Upande mwingine ukifikiria hayo madawa yanayowafanya kuku kukua kwa muda mfupi na kuwa sokoni, pia mafuta yanayotoka kwenye kuku hao ni lini yatatoka mwilini wakati unawala kila siku. Bei ya organic chicken ambao ni sawa na kuku wetu wa kienyeji ni mbaya sana, ni watu wenye uwezo tu ndiyo wananunua hao, sasa tunarudi kulekule kuwa makaburi mengi ni ya masikini.Yeah usemacho ni kweli japo sina takwimu zake, wenzetu wanatuzidi kwa kufanya ufugaji wa kisasa wa kimahesabu yaani anajua ana kuku 1000 basi anajua atapata mayai 2000 kila mwezi na anatafuta masoko au pa kuyauzia mapemaa. Vivyo hivyo anajua an and ama 500 leo basi baada ya miaka 3 atakuwa na ng'ombe 500 wenye kiko 400 kila mmoja na atauza kwa bei flani na atapata pesa yake kwa kuuza. Vivyo hivyo mahesabu yanafanyika kuwa kutokana na idadi ya wananchi eneo flani basi wakichinja ngombe kadhaa kika mwezi hata kama kuna vegetarian basi kila familia itakuwa na uwezo wa kupata kitoweo cha kutosha na bei itakauouzwa kila familia itakuwa na uwezo wa kumudu.
Ni mahesabu tuu ndo yanatushinda.
Ule usemi wa hesabu ni ngumu na kuzikimbia madhara yake ndo haya. ... mahesabu ya mipango na takwimu yanatushinda ili kujipangilia baadae itakuwaje.
Sina takwimu tena ila nj familia chache TZ zenye uwezo wa kula mlo wa kitoweo 3/4 na ugali au wali au viazi 1/4. Wengi ni kinyume chake kitoweo theluthi na ugali au wali au viazi sahani inajaa. Hatari kwa afya ya matumbo bin vitambi.