KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
hahaaa misesiSi ni ukwel. Au wewe unakula kuku mzima
hahaaa misesiSi ni ukwel. Au wewe unakula kuku mzima
Ni hali ya uchumi, huwezi kuamini yule kuku mmoja anachinjwa na familia nzima mnashiba familia ya watoto 6, baba mama, housegirl na mjomba amekuja kusalimu.
Naona umepata threesome bafuni......
Nilifikiri kina Suzan wetu wa Mwananyamala ha haa
tatizo lako unamshobokea ngabu na kumfanya aandike madubwana yasio na mpango humu ndani bila kusahau yale mapicha hayana maana yoyote ndo maanake nifah akasema hmpendi huyo ngabu sababu ya ushamba
tatizo lako unamshobokea ngabu na kumfanya aandike madubwana yasio na mpango humu ndani bila kusahau yale mapicha hayana maana yoyote ndo maanake nifah akasema hmpendi huyo ngabu sababu ya ushamba
Heee...!!!upooo. ....? Umeadimika kama tako la nyoka khaaaa.........
Ndo umefanya into being no longer my friend sio. ...... hahahahahhahahah siku hizi umehamia mwananyamala? By the way nataka nikusindikize siku unahamisha mizigo kwenda Dom ntabeba walau kiti au hotpot......
Kasie.
pole sana itabidi uendelee kutawaza wazee wa kizungu lakini wewe sijui nani atakuja kukutawaza
na hamu na mwanamke tipwa tipwa klama wewe yani mafuta mafuta kama nundu ya ngombe
Dodoma itabaki story tu
hata Mgu mwenyewe hatahamia...mark my words ...
karibu mwananyamala
Asante kunisaidia kumjibu maana sio kwa mwendo kasi ule hahahahahha
na hamu na mwanamke tipwa tipwa klama wewe yani mafuta mafuta kama nundu ya ngombe
Atakuwa ni mhanga wa homa ya Ngabu huyo, si bure!
Ngabu fever is a serious health condition.
halafu wote tukojoe tulale
we bado hujadungwa bado
kigoma hahaaaa ndio kwetuHebu kuwa na adabu kidogo ukiona wakubwa zako wanaongea sio unavamia maongezi tuu. Huoni watoto wenzio wote wamelala?
Unafikiri uko na watoto wenzio hapa mkishakunywa maji mnapangwa foleni mkakojoe msije mkajikojolea vitandani maana uwezo wa loki kustahimili kushikilia chii hadi asubuhi ni mdogo...... Acha kudandia treni ukafikiri inaishia ubungo au pugu hii break yake Kigoma ..........
Usijesema sikukufahamisha. .......
Pamoja na kuwa vitu tunavyo vingi lakini bado hatujafikia uwezo wa kuzalisha kwa uwiano wa watu tulionao. Fikiria idadi tu ya watu wanaoishi Kariakoo wewe na uwezo wa kula 1/4 kwa mtu mmoja kwa siku moja ni ng'ombe wangapi? Pia uchumi wa watu kumudu hiyo sh.2,500 kwa 1/4 ya nyama bado.Hahahahahhaaa hapo nguna aka ugali unasongwa kilo 3 ila kuku mmoja michuzi kibao ndo maana vitambi havituishi acha hizi nyama choma wanazokuka walipa kodi na mishikaki maana wanajazia ngano ya laga na ndizi kama sio kipepe
Ila saa ingine huwa sielewi ng'ombe tunao wengi tuu na tunachinja wenyewe samaki wako bwelele tunavua wenyewe lakini kitoweo ni ghali kuliko chakula kikuu. Hata wafugaji hawali kitoweo kila siku wanaogopa mifugo itaisha japo inazaliana.
Wa ughaibuni hawafugi wao wananunua supermarket ila nyama ya dola 3 ambayo ni kama elf 7000 ni nyama ambayo kama familia ya watu 8 mnakula kwa kujiachia wiki nzima. (Kama nimekosea I stand to be corrected )
Wacha tuendelee kujaza mitori bakuli zima nyama 4 ugali nusu kilo nyama finyango 2 chips sahani 2 kuku robo.
Huku inaonekana nyama bado ni anasa.