Me ni "Msagaji"

danione

Member
Oct 26, 2011
58
5
Jamani nimeamua kuwa muazi wana Jf mm ni Msagaji
Siku ukinikuta nimechafuka unga usinishangae
 
Mbona lines mbili zina information nyingi hadi hazieleweki?
- Mtoa mada ni msagaji
- Kuna swala la unga ambalo linahusika ila sijalielewa
- Mtoa mada kakereka na Tanesco.
Hizi info zimeungana kivipi?
Ngoja tumsikilize sasa...
 
Jamani nimeamua kuwa muazi wana Jf mm ni Msagaji
Siku ukinikuta nimechafuka unga usishangae ila tanesko wananiuz sana

Unasaga mahindi, mtama au ulezi???

Mie nafanya biashara ya kuuza unga...tuwasiliane basi kwa maelezo zaidi??

Babu DC!!
 
Mbona lines mbili zina information nyingi hadi hazieleweki?
- Mtoa mada ni msagaji
- Kuna swala la unga ambalo linahusika ila sijalielewa
- Mtoa mada kakereka na Tanesco.
Hizi info zimeungana kivipi?
Ngoja tumsikilize sasa...

Mbona jamaa kajieleza vizuri??

Kama wewe una mashine ya kusaga nafaka utaitwaje?? Na utafanyaje kazi bila Ngeleja kuwa hewani???

Babu DC!!
 
Mbona jamaa kajieleza vizuri??

Kama wewe una mashine ya kusaga nafaka utaitwaje?? Na utafanyaje kazi bila Ngeleja kuwa hewani???

Babu DC!!

ndo naelewa sasa hivi lakini atakua hajielewi kwa nini neno msagaji kaliwekea hivyo?ili tuelewe nini sasa chaa
 
tayari cameroun ameshapata mteja. hongera utapata mamilion ya madola
 
Wasagaji ni watamu Bwana!!!!.lakini inabidi uwe na nidhamu na mstahamilivu. Nakushauri ujaribu!!!!!!!
 
Siku ya mwisho na ww utasagwa na moto uwe sawa na Unga wa kwenye jiko chini.mean najivu.
 
Back
Top Bottom