Amekuwaje Mfungwa ilihali Hata Bado hajahukumiwa, Kamanda mbona ni waongo Sana nyinyi ili mpate huruma za Wananchi!!
Wakina steve Biko wangekuwa na mawazo Kama yako c ajabu apartheid ingekuwepo mpaka Leo.vijana tujifunze kutumia muda wetu kufanya mambo ya maana na sio kukimbilia mambo yatayohawaangusha wale wanaotutegemeana kuwaacha na masikitiko kila siku, haya sasa uanaharakati umemfikisha wapi?
Umeshaenda kumuona?View attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja , akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo .
Nachukua nafasi hii kumuomba Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka .
View attachment 1674143

Unapost upuuzi kwa kuwa wewe upo nje. Angekuwa ndugu yako usingejaribu kuandika huu upuuzi.Mdude is cool, angekuwa anaogopa jela angeshakimbia nchi siku nyingi.
Infact anafanya mazoezi jela ili kujiweka vizuri kiafya ya mwili na akili.
Kwa hiyo Lisu na Lema ni waoga?Mdude is cool, angekuwa anaogopa jela angeshakimbia nchi siku nyingi.
Infact anafanya mazoezi jela ili kujiweka vizuri kiafya ya mwili na akili.
Siyo kumuona tu! Inatakiwa akafungwe pamoja nae kabisa kama alivyokuwa anampa bichwa kwenye social mediaUmeshaenda kumuona?
Hakuna mtu anaeweza pata furaha kwa kuumiza watuSiyo kumuona tu! Inatakiwa akafungwe pamoja nae kabisa kama alivyokuwa anampa bichwa kwenye social media
Lenye mwanzo alikosi mwishoAlitaka mwenyewe kwenda huko. Namuombea aendelee kutimiza ndoto zake
Ni kweli. Inaweza ikawa mwisho mzuri au mbaya.Lenye mwanzo alikosi mwisho
[emoji15][emoji15] wanalipana fadhilaPole sana Mdude, out of topic, Mizengo Pinda kukalia kiti cha Mzee Mangula.
Pinda ni mtu wa ndiyo mzee, u PM wa Pinda ulikua tofauti sana na wa Lowasa.[emoji15][emoji15] wanalipana fadhila
Imesaidia nn sasa.Ni kweli. Inaweza ikawa mwisho mzuri au mbaya.
Kupoteza muda wote huo kwaajili ya siasa za nchi hii ni upumbavu.
Hawezi ishi nje ya payroll Kama wengine wanatoa single na wanatoka why yeye.Pinda ni mtu wa ndiyo mzee, u PM wa Pinda ulikua tofauti sana na wa Lowasa.