Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,553
Kwa heri Uhuru karibu ukoloni mwafrika ajawahi kuwa huru.Huwezi sema uko Hali Hali haumudu basic needs.TUMESHAPATA UHURU MKUU TUACHE YA KUJITAKIA...

Trust me Diwani kwa haya lazima Mwenyezi Mungu ataingilia kati! na huponi asilani!View attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
AmeeenTrust me Diwani kwa haya lazima Mwenyezi Mungu ataingilia kati! na huponi asilani!
Huo ushahidi wa kwamba hajawahi kuuza hata ugolo yafaa kuutunza vema ili akiwa mahakamani ufikishwe.View attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Mleteni Amsterdam aje amtetee, avheni ujinga,View attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Atapambanaje na hali yake na yupo gerezani. Acha roho mbaya kisa tofauti za kiitikadiSawa, ni vizuri apambane na hali yake.
Hayo anayotendewa yapo kisheria?Wanasiasa wameruhusiwa kutesa na kuonea Wananchi? Mkuki kwa nguruwe...Mimi nikajua utakuja na tamko la chama Namna ya kudeal na kesi yake ili awe huru na maisha yake kumbe upo kutafuta Huruma isiyokuwa na tija Wala mashiko katika kumuokoa Kamanda.
All in all poleni Sana wanafamilia wa Mdude Ila pia iwe fundisho wa wachumia siasa waliobaki..
Usimwamini Mwanasiasa.
Usimwamini Mwanasiasa.
Usimwamini Mwanasiasa.
Hatima yako itakuwa mbaya tu huku ukimuacha yeye akila milo kamil na familia yake.
Mungu hakubali maombi ya watu kama haoNachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Vipi wewe hupendi hayo mazoezi ya kujiweka sawa?Mdude is cool, angekuwa anaogopa jela angeshakimbia nchi siku nyingi.
Infact anafanya mazoezi jela ili kujiweka vizuri kiafya ya mwili na akili.
Anza kupaza na kupiga kerere wewe na utoke huko nyuma ya keyboard.Hayo anayotendewa yapo kisheria?Wanasiasa wameruhusiwa kutesa na kuonea Wananchi? Mkuki kwa nguruwe...
Ipo Siku tutawakumbuka kina Mdude,anaponyanyaswa Mtanzania bila sababu na watawala ni jukumu la kila mmoja wetu kupaaza sauti kupiga.Tukichelea maana kulia...Ukimdhalilisha Mdude nawe Siku yako ikifika utaadhirika na hakuna atakayekutetea.
Ndiyo maana mliitwa wapumbavu na marehemu Mkapa! Nyinyi mnaota ndoto za Biko, Solomon Mahlangu, Ahmed Kadhrada, Tutu, Mondlane etc. Kwa nchi iliyokwisha jitawala! Hiyo ni bhange inawasumbua.Wakina steve
Wakina steve Biko wangekuwa na mawazo Kama yako c ajabu apartheid ingekuwepo mpaka Leo.
Umeshasikia sauti niliyopaza na ndiyo maana napata mwangwi wa Nazqur.Na huo ndiyo mwanzo wa ngoma,wataka nitoke nyuma ya keyboard wakati nawe wajificha huko huko?Anza kupaza na kupiga kerere wewe na utoke huko nyuma ya keyboard.
Diwani ni loudspeaker,kuna mtu kaamua kukuachia laana kizazi chakeTrust me Diwani kwa haya lazima Mwenyezi Mungu ataingilia kati! na huponi asilani!
😆😆😆Wewe ni mpumbavu kama huyo mdude
weka ushahidiMungu hakubali maombi ya watu kama hao
Matokeo ya kutaka sifa za kutukana kila mtu hovyo mitandaoniView attachment 1674143
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.
Nachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Matusi ni nini ?Yale matusi yanaweza kuwa yanatokana na matumizi ya mihadarati.