Mdude Nyagali atimiza siku 244 gerezani

Mdude Nyagali atimiza siku 244 gerezani

Imesaidia nn sasa.
Je pana yeyeto duniani amewahi wasilence watu akaweza.
Kelele za mlango uwanyima usingizi uncivilized uneducated unexposured tu.
Imesaidia kumkomoa. Walio muweka huko wanashangilia.
 
Burudani tu
Chochote kibaya umtendeacho mwenzake urudi kwenye uzao wako.Jiulize why familia za baba zao waliwahi kuwa viongozi wakubwa na wakawaumiza watz wengi zipo vile?
Why mapolisi wakistaafu utawaonea huruma.
Dunia haikujengwa zigzag pana mifumo iliwekwa .. do! And don't do!
Huwezi elewa Kama ujui kuhusu universe
 
Acha avune alichokipanda.
Asiefunzwa na wazazi ulimwengu utamfunza.
 
Chochote kibaya umtendeacho mwenzake urudi kwenye uzao wako.Jiulize why familia za baba zao waliwahi kuwa viongozi wakubwa na wakawaumiza watz wengi zipo vile?
Why mapolisi wakistaafu utawaonea huruma.
Dunia haikujengwa zigzag pana mifumo iliwekwa .. do! And don't do!
Huwezi elewa Kama ujui kuhusu universe
Naelewa, lkn haizuii mambo kama haya kutokea..yataendelea kutokea maana wanadamu ni wale wale. Haibadilishi kuwa mdude amefeli...
 
Wafuasi wake wa mtandaoni wamebaki kutafuta huruma za wadau tu ila hakuna hata mmoja wa kumsaidia.
Kipende chama ila usimwamini mwanachama
 
View attachment 1674143

Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana

Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya kuthibitika kwamba Mhujumu uchumi huyo mpya mapato yake kwa mwezi hayafiki hata Tsh laki moja, akabadilishiwa mashitaka na kushitakiwa kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya , huku ushahidi ukionyesha kwamba hajawahi kuuza wala kumiliki hata Ugolo.

Nachukua nafasi hii kumuomba Mungu ili aingilie kati na kuhakikisha haki inatendeka.
Huyu aliyataka mwenyewe. Ukiwa mwanaharakati lazima akili yako ifikirie in 3D.Yaani lazima uwe na dought na kila kitu. Lazima ujue kuoverlook. Yaani lazima uone wote ni maadui wako.Hapo ndo utakuwa salama.
 
Chama kimesha msahau wale waliokuwa wanampa kichwa mitandaoni nao sasa kimya hakuna wa kumsaidia wote wako busy akitoka angalie hatma ya maisha yake na sio taifa manake kwa upande hui hakuna anayemjali kabisa
Faida za uongo ulizowahi kupata ni zipi ?
 
Akuna cha mzigo kaka ni kuonyeshwa nguvu za mamlaka unapokosa adabu na kutii sheria.
Nakushukuru kwa kukiri kwamba Mdude si muuza unga bali amekomolewa kwa sababu za kisiasa , na hasa baada ya kushindwa kumuua baada ya kumteka
 
Back
Top Bottom