Ushetani huu, Nafasi ya mwanamke hiwezi kuchukuliwa na mdoli.
hahha i am speechless... hivi kumbe mademu ni dili ngumu? Poleni jamanihawa wanatengeneza kama tiba ya wanume wapweke wanaokumbwa na mifadhadaiko ya mara kwa mara baada ya kupigwa vibuti na mademu.
hebu fikiri kama mademu yasingekuwa dili ngumu, nanani angekumbuka doli au sabuni?
mademu nayo yamezidi kupenda mno hela matokeo yake wanume masikini huogopa hata kujaribu bahati yao ila wenye fedha hubadili mademu watakavyo. ngoja nimalize shule, nikipata fweza mtanikoma, walahi miaka kumi ya mwanzo ni magwaride tu hadi nikinai ndo naoa.
sasa mlishindwa kushangaa kushamiri kwa mastabasheni mnashangaaje hili? yete mawili sababu yao ni mija, masister acheni kupenda fedha, jalini utu, khaa!
hawa wanatengeneza kama tiba ya wanume wapweke wanaokumbwa na mifadhadaiko ya mara kwa mara baada ya kupigwa vibuti na mademu.
mademu nayo yamezidi kupenda mno hela matokeo yake wanume masikini huogopa hata kujaribu bahati yao ila wenye fedha hubadili mademu watakavyo. ngoja nimalize shule, nikipata fweza mtanikoma, walahi miaka kumi ya mwanzo ni magwaride tu hadi nikinai ndo naoa.
...Hiyo itakuwa nzuri kwa wale wadada wanaopenda kupiga mizinga mara nataka nguo ya sikukuu, mara sijui kodi imekwisha watanifukuza nilikopanga. Nadhani hapo hutahitaji condom...Mh! lakini si kama kupiga puli tu??Hiyo itakuwa safi sana kwa Tanzania katika swala zima la kupinguza maambukizi ya VVU.
realy?n men go for it?