Mdoli wa NGONO!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdoli wa NGONO!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GAMBLER, Jan 14, 2010.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA

  Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas, Marekani.

  “Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini,” alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.

  Mbali na mdoli huo kuwa “tayari kwa kitendo”, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa “upole”.

  “Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala,” anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.

  “Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu,” anaongeza.

  Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.

  Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote.
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  God have mercy! huku tunakoelekea sasa siko
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hawa wanaume wenye midomo mizito/zege wanaiangusha dunia.
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Hata mimi nashangaa sana. Yaani kwa idadi ya wanawake na wanaume waliotapakaa duniani tunahitaji plastic? Ngoja nami nizame maabara, wasiponifungia naweza kutegeneza kitu ambacho ni cloned ili watu waendeleze ujinga wao!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh!
  ..TUTAFIKA TU
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  realy?n men go for it?
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hiyo itakuwa safi sana kwa Tanzania katika swala zima la kupinguza maambukizi ya VVU.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  eeeh kweli haya mambo ya sayansi na teknolojia yaenda fasta hii ni hatari kubwa
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  utamu wa c.u.m.a yake hauwezi kufikia ile kitu yenyewe NATURAL!!.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  hakuna lolote watu wanajitahidi kwenda sambamba na uumbaji wa mwenyezi mungu lakini kamwe haitatokea
   
 11. A

  AshaFaraji Member

  #11
  Jan 14, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushetani huu,
  Nafasi ya mwanamke hiwezi kuchukuliwa na mdoli.
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hawa wanatengeneza kama tiba ya wanume wapweke wanaokumbwa na mifadhadaiko ya mara kwa mara baada ya kupigwa vibuti na mademu.

  hebu fikiri kama mademu yasingekuwa dili ngumu, nanani angekumbuka doli au sabuni?

  mademu nayo yamezidi kupenda mno hela matokeo yake wanume masikini huogopa hata kujaribu bahati yao ila wenye fedha hubadili mademu watakavyo. ngoja nimalize shule, nikipata fweza mtanikoma, walahi miaka kumi ya mwanzo ni magwaride tu hadi nikinai ndo naoa.

  sasa mlishindwa kushangaa kushamiri kwa mastabasheni mnashangaaje hili? yete mawili sababu yao ni mija, masister acheni kupenda fedha, jalini utu, khaa!
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye RED, omba Mungu wako (hata kama ni shetani) ulifikie hilo lengo! Kuna wadudu fulani wanaotoka kwenye jamii ya Retrovirus, hawaangalii plan zako. Anyway, ukimaliza hicho kibarua cha kuwakomoa usisahahu kutupa mshindo nyuma.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  naona wanaume wameamua kujibu mapigo..
  Wanawake walianza na vibrator,,,, sasa wanaume wamekuja na midoli
   
 15. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Umenichekesha sana!
   
 16. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  dawa ya ukimwi itakuwa imeishapatikana, so ont wore
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhh,

  Kwani wewe umeshagundua moja au ndo unaifanyia clinical trial? Kila la heri.
   
 18. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hili ni chukizo kubwa sana kwa Mungu na matusi katika uumbaji wake...mwisho wa dunia hu karibu kama si tayari...:(
   
 19. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2010
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  siyo hatari kubwa kwani ni pamoja na kujikinga na magonjwa yaliyopo

  pia kuepuka usumbusu wa ma Gf we hujui akinunua huo ile gharama ya Dinner na vitu vingine vinakuwa kwa heri.
   
 20. b

  bwanashamba Senior Member

  #20
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inabidi na mi nifanye mpango niagize mmoja
  course mademu wa bongo wanapenda sana ela
   
Loading...