Mdogo wangu.!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
MDOGO WANGU ANAKUJA HOME KUTOKA UDSM, kisa amekosa mkopo. Anasoma BA.Statistics. Mi mwenyewe na babayangu ( HAKI YA MUNGU) ni wakulima. Halafu hata nauli ya kuja home hatujapata! Wee acha tu, sababu hujui inavyo uma. Hivi tunaweza kuruusiwa kumwona RAIS? Dogo ni 1st yr UDSM.
 
Kama tunataka kumuona mh. rais kwa sababu tu tunamatatizo nadhani haikubaliki, wapo wengi wa kuonana nao na wanaweza kusaidia tatizo lako, nakushauri onana na mbunge wako kwanza
 
Pole sana mkuu,tafuten alternative nyngne ya kumsave dogo.
 
Dah! Too sad. Hapo home hakuna walau ng'ombe mkauza akasoma huyo kijana?
Halafu ndo unakuta kijana kama huyo anapost tu humu na simu yake ya kichina eti ooh kuna demu ananizingua! Unaweza finya maskio!
 
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.

Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.

Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.

Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
 
pole sana bana.
Uzeni hata shamba bana.
Send your story kwenye gazeti la mwananchi.........omba msaada, hata kama ni mkopo ambao utakuja kuulipa.
 
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.

Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.

Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.

Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.

aliyekwambia kwamba baba yake alitumia ujana wake vibaya ni nani?
When you talk and walk like a duck, nani anaweza kusema you are not one?

Hovvyo kabisa.
 
Oh! My god, bible yenyewe inasema usimwache elimu aende zake, so dogo asiwe na shaka Mungu atampigania kwani penye nia pana njia ajitahidi kumwomba Mungu tu atamwonyesha njia
 
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.

Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.

Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.

Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.
alitumia ujana wake vibaya vipi kama ulizaliwa wewe usiekua na nidhamu kuwambi kiburudisho cha mamako kua alitumia ujana vibaya
 
aliyekwambia kwamba baba yake alitumia ujana wake vibaya ni nani?
When you talk and walk like a duck, nani anaweza kusema you are not one?

Hovvyo kabisa.

Ukweli unauma:jenga tabia ya kuangalia mambo from different angle! Jamii inaamini KUPATA MAJALIWA,nawe ukiamini hivyo sawa tu,lakini hebu tupia jicho ongezeko la vilevi,grocery,na wateja wengi wakiwa vijana...watoto wao watasomeshwa na nini kama akiba ya kuwasomesha haikuwekwa leo?
 
Najua ukweli unauma. Ila lazma tujifunze kuambiana ukweli.
 
MDOGO WANGU ANAKUJA HOME KUTOKA UDSM, kisa amekosa mkopo. Anasoma BA.Statistics. Mi mwenyewe na babayangu ( HAKI YA MUNGU) ni wakulima. Halafu hata nauli ya kuja home hatujapata! Wee acha tu, sababu hujui inavyo uma. Hivi tunaweza kuruusiwa kumwona RAIS? Dogo ni 1st yr UDSM.

Marcko, pole sana. Nitumie number yako kwenye PM tuongee.
 
Hili lijitu linalojiita mzee sijui huwa linagongwa na majambazi au vp?yan lenyewe tangu lijiunge na jf ni mwendo wa pumba tu..
 
Mzee wako alitumia ujana wake vibaya. Sasa watoto wanapata matatizo.

Namshauri dogo, kuwa sio lazma aanzie digrii. Anaweza kuanzia diploma kwakuwa ada yake ni affordable kwa kila Mtanzania then akishapata kazi baadae atajiendeleza.

Serikali haina uwezo wa kumlipia kila anayepata chuo. Tatizo ni bajeti.

Namtakia kila la kheri. Asife moyo, yeye sio wa kwanza. Mungu ambariki.

Mkuu umekosea na si vyema ukaendelea kujitapa ati ukweli unauma....Unamjua baba yake mpaka um judge ivo?...there are a lot of things happening in this world...imagine mzee wako labda angeumwa,angefukuzwa kazi au angefilisika kiasi kwamba asingekua na uwezo wa kukusomesha.....WOULD YOU HAVE THE GUTS KUONGEA IVO?...MAN UP DAWG!
 
pole sana brother marcko, na pole zaidi kwa mdogo wetu! mwambie asikate tamaa, wapo wengi sana wanaokosa nafasi mbalimbali za kuendelea na elimu kutokana na umaskini wa familia zao, na hawana pa kusemea!
jambo la muhimu sasahivi ni kukaa kikao as family ili mjadili namna gani mnaweza kumsaidia dogo!
nina imani baada ya kikao, mtapata pa kuanzia...
 
Mkuu umekosea na si vyema ukaendelea kujitapa ati ukweli unauma....Unamjua baba yake mpaka um judge ivo?...there are a lot of things happening in this world...imagine mzee wako labda angeumwa,angefukuzwa kazi au angefilisika kiasi kwamba asingekua na uwezo wa kukusomesha.....WOULD YOU HAVE THE GUTS KUONGEA IVO?...MAN UP DAWG!

wazee wengine wanajaza watoto tu wakiwa na imani kuwa kila mtoto atakuja na bahati yake.
 
Back
Top Bottom