Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Jaribu hizi products za makampuni kama alliance in motion global wana product mmoja inaitwa c247...ambayo imesaidia watu wengi kuhusu hill tatizo..nikiwemo Mimi.
 
Sjasoma post zote kuona kama ulishapata jibu.
Hiyo ni kazi ndogo sana kuna mafuta ya kupaka yanaitwa Bio-oil, hayo ni kiboko ya michirizi uchwara kama hiyo
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya

veronica huyu mdg mtu inaonekana ni wewe pls huyo si MUOAJI mbn unapata presha kisa stretchmark??hakuna muoaji hapo mamaee mwambie apite hivii
 
Sjasoma post zote kuona kama ulishapata jibu.
Hiyo ni kazi ndogo sana kuna mafuta ya kupaka yanaitwa Bio-oil, hayo ni kiboko ya michirizi uchwara kama hiyo

haitoi haraka as u think
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya
let him go.
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Nfo ivo mkishapendwa mnaona ms*nhe kafa kaoza mnajibweteka. Let this be a lesson to my mchumba. Jibweteke unenepe kibuti
 
Hiyo sio sababu ya kutosha kumwacha Mwanamke mwenye roho na tabia nzuri.

Ana utoto huyo jamaa.
 
Huyu jamaa hana akili.
Wewe unasema wa nini huyu mwingine anawaza atapata bahati ya kumpata wapi mwenye stretch marks
 
Sioni kosa la jamaa. Haolei tamaa anaoa anachopenda. Alimpenda dada kwa sababu alikua slim portable sasa saivi amekua likabati hahaha.
Jamaa yuko sawa na nina msaport
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Yaan huyo ni kumtoa nduki tu,[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Msaada kuinusuru ndoa? Kaolewa??
 
Back
Top Bottom