Huu uzi ufungwe.
Mkuu
Sky Eclat naomba unotify hii kama disclaimer kwa wahusika. Japo naamini hukuanzisha hii thread kwa mlengo wa kupromote ushoga.
Kuna members tumeanza na JF tangu ikiitwa JamboForum. Naamini kipindi hicho
cocastic alikuwa mtoto mdogo sana chini ya malezi ya wazazi wake.
Siwezi kuwalaumu wazazi wake moja kwa moja kwa hii tabia aliyo adopt ukubwani.
Kwenu JF naomba muwe wawazi kama mmeruhusu haya mambo ya ushoga yajadiliwe, basi isiwe hadharani tengenezeni jukwaa fiche kama jinsi ilivyokuwa kwa jukwaa la wakubwa muweke criteria za watakaokuwa tayali kujivinjali huko.
Hii ni Afrika jamani. Tuitetee asili na maadili yetu kwa nguvu zote japo dunia ipo kasi sana lakini tutambue kuna generation itakuja kutuhukumu km tunaacha mambo yapite vile akina
cocastic watakavyo.
Shoga yeye hana cha kupoteza make kachagua kutokuzaa ataliliwa na nani?
Cc @mexence melo