cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Leo nimestaajabu ya musa hakya mungu daaaah!
Kwani ni huyu cocastic huyu au hata sijui niseme nini na stori ya ujauzitohadi majina nikakupa uchagu duuuuh! Kumbe dume
leo nimejua ukweli dunia ilishaisha tunaopita tunamalizia tuu
![]()







kumbe uko serious na JF kiasi hiki? Huku ni story na ubwakuu tyuuh. Poleeeeeeeeeh bas, wee jua mie mdada, wala usiumie kwa hili. Mweeeeh.


