Mdhamini anahitajika: Nina wazo la kutafsiri vitabu maarafu kutoka kingereza kwenda kiswahili..

Wazo unalo sawa. Je uwezo/kiwango? Usileta mambo bongo muvi.
Ninao uwezo kiasi japo sijasomea kitu hiki... ila naweza endelea kujifunza

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapatikana wapi Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hesabu yako linaweza kugharimu kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mpaka hapa atakuwa ameelewa. Umeeleza kwa kinaga ubaga mkuu. Umeeleweka sana. Nafikiri hata wazo lenyewe la kudurufia linaishia hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijapiga hesabu ila nikipata mtu tutakaa tupige hesabu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu Da'Vinci ni vizuri sana kwa kuanzia fuata ushauri wa *Kudo* na *Sir Khan*. Mimi no mpenzi mkubwa wa vitabu hasa vya kipelelezi na ujasusi,na biashara pia,ningekuwa tayari tuishie kazini,ila Vinginevyo unaweza kupoteza hela zako na kushitakiwa,ukitaka kudurufu labda kwa kificho. Mawazo yao nimeyaelewa sana,ni vizuri na wewe uyasome kwa makini muda mwingine unaweza usihitaji mdhamini,wadhamini wanaweza kuwa wao wenye kitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…