Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,795
- 1,344
ndo nimekufahamishaSikuaahi kufahamu hili mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo nimekufahamishaSikuaahi kufahamu hili mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
NotedHaki miliki ndo jambo la kwanza, kisha huyo mtu mwenye haki za kitabu akubali urudufu kazi yake,
Wala hata wadhamini hutawahitaji mana utalipwa na wenye haki miliki kisha wao watauza kwetu....
Other wise uwalipe mabilioni ya pesa ili wakupe haki zote kwa lugha yako unayoitaka kitabu chake kiwe...
Kikubwa utakubaliwa na wenyewe endapo wanauhakika hautovuruga maana ya kitabu chao
Shida kuwapata ndio IKweli mkuu, kwa upande wangu sipendi kuangalia filam ya sultan, bora apatikane MTU akudhamin wazo lako, KUSOMA HUONGEZA MAARIFA ZAIDI KULIKO KUANGALUA FILAM
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarii
Sijui wazo langu ni lakijinga?? But nalileta kwenu kama mtaona linafaa..
First mm napenda sana sana kusoma vitabu vya aina yoyote bahati mbaya kila kitu ninachokisoma kipya hua natamani niwagawie wenzangu yale niliyoyapata kwenye kusoma... ndio maaana nikipata kitu kipya hua nashea nanyi humu.
SASA IPO HIVI.
Ninawazo kwamba niwe natafsiri vitabu vinavyouzika sana kimataifa kwenda lugha ya kiswahili. Imagine unasoma kitabu cha The Davinci Code kwa kiswahili au Rich Dad poor dad kwa kiswahili na vinginevyo kwa lugha yetu adhimu ya kibantu. Itapendeza na inavutia kisi chake
Hivyo nilitaka apatikane mtu atakaye fund hili wazo langu kama ataona lina faa kwakua napenda kusoma na kuandika suala hili la kuandika nitalifanya mwenyewe.. kushinda kutwa nzima hadi usiku nikiwa naandika ni kazi ndogo kwangu.
Faida yake hii ni nini??
1. Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu hasa vya kingereza hivyo vitabu vikiwa kwenye lugha yetu itakua rahisi kidogo.
2. Tutaongeza idadi ya watanzania wenye kujisomea vitabu kuliko kutazama tamthilia za Sultan
3. Tutaongeza maalifa kwa vijana wanaopenda kujisomea ikumbukwe elimu na utajili wote umefichwa kwenye vitabu..
• Lakini pia watz ni wavivu kusoma hivyo kwa wale wavivu tungewatengenezea mfumo ambao kitabu anakipata chote kizima kwa mfumo wa Audio katika lugha ya Kiswahili hata mtu akiwa safari anavaa earphones anasikiliza kitabu hadi anfika kwao vijijini huko kutembea.
Swala la Copyright na Marketing ya hivyo vitabu sijalifikiria sana coz bado sijajua kama litafanikiwa but kama mtu atavutiwa na wazo langu atanifuata pm tupange kisha nimpe mikakati ya soko la hivyo vitabu.
Samahini kwa wote nilio wakwaza kwa wazo langu hili la kijinga
Ahsanteni
~Da'Vinci...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sipo dar mkuu twaweza wasiliana lakiniNina Kitabu tunaweza kuongea...
Nahitaji kutoa ktk lugha ya kiswahili kwenda ktk lugha ya dunia.
Kama uko Dar itakuwa poa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hesabu yako linaweza kugharimu kiasi gani?Ndio maana nahitaji mdhamini au shareholder ambae atafund wazo langu coz vitendea kazi siwez kupata... Mfano mada zangu humu hua nakaa na wazo karibia miezi 6 kuandika inanichukua wiki kadhaa ili kuandika kilicho thabiti.. hiyo yote kutokana na uhaba wa vitendea kazi
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sipo dar mkuu twaweza wasiliana lakini
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nadhani mpaka hapa atakuwa ameelewa. Umeeleza kwa kinaga ubaga mkuu. Umeeleweka sana. Nafikiri hata wazo lenyewe la kudurufia linaishia hapa mkuuKifupi ni kuwa
Wewe kutafuta mdhamini ambae hana haki na kitabu mnachotaka kurudufu ni kujisumbua (japo ni wazo zuri).
Itahitajika pesa nyingi sana ili kununua haki za kitabu husika na hapo suala linakuja Kwenye marketing ya lugha husika,...
Mfano: Umenunua haki nusu kwa billion moja (pesa ndogo zaidi kwa makadirio)
Je hapa kwetu kwa lugha yetu utauza kopi ngapi na kwa sh ngapi ili urudishe pesa yote na faida?
Kwa wenzetu vitabu ni biashara nzuri sana na huwez kuta kitabu cha chini ya dola mia(labda vya hapa Africa)
Cha kukusaidia sana labda urudufu kiswahili kwenda kingereza au kifaransa, mana ni rahisi kununua haki ya kitabu cha kiswahili kuliko ulichofikiria,na ni rahisi kupata faida kubwa kwa kurudufu kutoka kiswahili kwenda kingereza...
Ni maoni yangu ngoja tuone wengine
Mkuu mfano vitabu gani na mm nivitafutesikukatishi tamaa lakini jua hivyo vitabu na vingine vingi tayari vimeshatafsiriwa kwa kiswahili. mimi nimevisoma vyote tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Da'Vinci ni vizuri sana kwa kuanzia fuata ushauri wa *Kudo* na *Sir Khan*. Mimi no mpenzi mkubwa wa vitabu hasa vya kipelelezi na ujasusi,na biashara pia,ningekuwa tayari tuishie kazini,ila Vinginevyo unaweza kupoteza hela zako na kushitakiwa,ukitaka kudurufu labda kwa kificho. Mawazo yao nimeyaelewa sana,ni vizuri na wewe uyasome kwa makini muda mwingine unaweza usihitaji mdhamini,wadhamini wanaweza kuwa wao wenye kitabuBado sijapiga hesabu ila nikipata mtu tutakaa tupige hesabu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk