Mdhamini anahitajika: Nina wazo la kutafsiri vitabu maarafu kutoka kingereza kwenda kiswahili..

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Habarii
Sijui wazo langu ni lakijinga?? But nalileta kwenu kama mtaona linafaa..

First mm napenda sana sana kusoma vitabu vya aina yoyote bahati mbaya kila kitu ninachokisoma kipya hua natamani niwagawie wenzangu yale niliyoyapata kwenye kusoma... ndio maaana nikipata kitu kipya hua nashea nanyi humu.

SASA IPO HIVI.

Ninawazo kwamba niwe natafsiri vitabu vinavyouzika sana kimataifa kwenda lugha ya kiswahili. Imagine unasoma kitabu cha The Davinci Code kwa kiswahili au Rich Dad poor dad kwa kiswahili na vinginevyo kwa lugha yetu adhimu ya kibantu. Itapendeza na inavutia kisi chake

Hivyo nilitaka apatikane mtu atakaye fund hili wazo langu kama ataona lina faa kwakua napenda kusoma na kuandika suala hili la kuandika nitalifanya mwenyewe.. kushinda kutwa nzima hadi usiku nikiwa naandika ni kazi ndogo kwangu.
Faida yake hii ni nini??
1. Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu hasa vya kingereza hivyo vitabu vikiwa kwenye lugha yetu itakua rahisi kidogo.
2. Tutaongeza idadi ya watanzania wenye kujisomea vitabu kuliko kutazama tamthilia za Sultan
3. Tutaongeza maalifa kwa vijana wanaopenda kujisomea ikumbukwe elimu na utajili wote umefichwa kwenye vitabu..

• Lakini pia watz ni wavivu kusoma hivyo kwa wale wavivu tungewatengenezea mfumo ambao kitabu anakipata chote kizima kwa mfumo wa Audio katika lugha ya Kiswahili hata mtu akiwa safari anavaa earphones anasikiliza kitabu hadi anfika kwao vijijini huko kutembea.

Swala la Copyright na Marketing ya hivyo vitabu sijalifikiria sana coz bado sijajua kama litafanikiwa but kama mtu atavutiwa na wazo langu atanifuata pm tupange kisha nimpe mikakati ya soko la hivyo vitabu.
Samahini kwa wote nilio wakwaza kwa wazo langu hili la kijinga
Ahsanteni
~Da'Vinci...

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
M

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
782
Points
1,000
M

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
782 1,000

Mimi si mdhamini, lakini nasema andika maana hutajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Mimi si mdhamini, lakini nasema andika maana hutajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nahitaji mdhamini au shareholder ambae atafund wazo langu coz vitendea kazi siwez kupata... Mfano mada zangu humu hua nakaa na wazo karibia miezi 6 kuandika inanichukua wiki kadhaa ili kuandika kilicho thabiti.. hiyo yote kutokana na uhaba wa vitendea kazi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
7,301
Points
2,000
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
7,301 2,000
Kabla hujafikiria namna ya kufund iyo project, fikiria habari ya patent rights. Ukisha sattle ndo fikiria fund

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,632
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,632 2,000
Haki miliki ndo jambo la kwanza, kisha huyo mtu mwenye haki za kitabu akubali urudufu kazi yake,

Wala hata wadhamini hutawahitaji mana utalipwa na wenye haki miliki kisha wao watauza kwetu....
Other wise uwalipe mabilioni ya pesa ili wakupe haki zote kwa lugha yako unayoitaka kitabu chake kiwe...
Kikubwa utakubaliwa na wenyewe endapo wanauhakika hautovuruga maana ya kitabu chao
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Haki miliki ndo jambo la kwanza, kisha huyo mtu mwenye haki za kitabu akubali urudufu kazi yake,

Wala hata wadhamini hutawahitaji mana utalipwa na wenye haki miliki kisha wao watauza kwetu....
Other wise uwalipe mabilioni ya pesa ili wakupe haki zote kwa lugha yako unayoitaka kitabu chake kiwe...
Kikubwa utakubaliwa na wenyewe endapo wanauhakika hautovuruga maana ya kitabu chao
Mkuu hebu nipe mwongozi hii kitu inafanywaje.. aisee

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,632
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,632 2,000
Mkuu hebu nipe mwongozi hii kitu inafanywaje.. aisee

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kifupi ni kuwa
Wewe kutafuta mdhamini ambae hana haki na kitabu mnachotaka kurudufu ni kujisumbua (japo ni wazo zuri).

Itahitajika pesa nyingi sana ili kununua haki za kitabu husika na hapo suala linakuja Kwenye marketing ya lugha husika,...
Mfano: Umenunua haki nusu kwa billion moja (pesa ndogo zaidi kwa makadirio)
Je hapa kwetu kwa lugha yetu utauza kopi ngapi na kwa sh ngapi ili urudishe pesa yote na faida?

Kwa wenzetu vitabu ni biashara nzuri sana na huwez kuta kitabu cha chini ya dola mia(labda vya hapa Africa)

Cha kukusaidia sana labda urudufu kiswahili kwenda kingereza au kifaransa, mana ni rahisi kununua haki ya kitabu cha kiswahili kuliko ulichofikiria,na ni rahisi kupata faida kubwa kwa kurudufu kutoka kiswahili kwenda kingereza...

Ni maoni yangu ngoja tuone wengine
 
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
4,603
Points
2,000
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
4,603 2,000
Kijana ongea na wenye hatimiliki ya kitabu husika ili wao wakulipe wewe baada ya kutafsiri vinginevyo watataka uwalipe hela ndefu ambayo wewe na mdhamini wako hamuwezi kuipata.
Malipo yanaweza kuwa ya papo hapo(baada ya kutafsiri) au ukawa unapata asilimia fulani(let say 40%) kutokana na mauzo ya kopi za kitabu hicho ulichotafsiri(hii ni bora maana unaweza lipwa hadi unakufa)
Watembelee east Afrika publishers,Macmillan,Mkuki na nyota au Longman publishers utaweza kujifunza mengi maana wao wanafanya hiyo kazi ya kutafsiri vitabu vya kugha za kigeni to swahili.
Note:unabidi uwe competent wa kiswahili na kiingereza na pia huwe na na elimu ya kutosha kuhusu translation and interpretation(unaweza kupimwa kabla ya kupewa kazi)
Kila la kheri.
Kesi nyingine?
 
S

Shaka-Zulu

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
394
Points
1,000
S

Shaka-Zulu

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2018
394 1,000
Yote yaliyoandikwa juu kuhusu patent rights au hati miliki ni kweli! Ninachokushauri mimi ni kuandika stories zako mwenyewe! Anza na short stories za hapa na pale, maisha uswahilini ina material tosha ya kuandika stories. Zilete zile short stories hapa, and ask for honest opinions. Ukiona stories zimekubalika, then go look for a publisher!
 
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Messages
1,693
Points
2,000
Wazo la kabwela

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2013
1,693 2,000
sikukatishi tamaa lakini jua hivyo vitabu na vingine vingi tayari vimeshatafsiriwa kwa kiswahili. mimi nimevisoma vyote tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Yote yaliyoandikwa juu kuhusu patent rights au hati miliki ni kweli! Ninachokushauri mimi ni kuandika stories zako mwenyewe! Anza na short stories za hapa na pale, maisha uswahilini ina material tosha ya kuandika stories. Zilete zile short stories hapa, and ask for honest opinions. Ukiona stories zimekubalika, then go look for a publisher!
Sina kipaji cha utunzi wa story mkuu.. labda uandishi tu kwa mtu.. nilipenda nifanye hio kitu hata kama mm nisipopata chochote furahs yangu itakua imetimia kuwasambazia knowledge wengine..

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Kifupi ni kuwa
Wewe kutafuta mdhamini ambae hana haki na kitabu mnachotaka kurudufu ni kujisumbua (japo ni wazo zuri).

Itahitajika pesa nyingi sana ili kununua haki za kitabu husika na hapo suala linakuja Kwenye marketing ya lugha husika,...
Mfano: Umenunua haki nusu kwa billion moja (pesa ndogo zaidi kwa makadirio)
Je hapa kwetu kwa lugha yetu utauza kopi ngapi na kwa sh ngapi ili urudishe pesa yote na faida?

Kwa wenzetu vitabu ni biashara nzuri sana na huwez kuta kitabu cha chini ya dola mia(labda vya hapa Africa)

Cha kukusaidia sana labda urudufu kiswahili kwenda kingereza au kifaransa, mana ni rahisi kununua haki ya kitabu cha kiswahili kuliko ulichofikiria,na ni rahisi kupata faida kubwa kwa kurudufu kutoka kiswahili kwenda kingereza...

Ni maoni yangu ngoja tuone wengine
Ahsante sana mkuu kudo kwa ushauri.. Lakini mimi nilitaka tu maybe nachukua soft copy ya kitabu fulani then nakitranslate. Kisha nakichapa then nnakitoa kikiwa na jina la mwandishi kama kawa.. ila utafauti itakua kwa lugha ya kiswahili.. Je unaushari zaidi??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Kijana ongea na wenye hatimiliki ya kitabu husika ili wao wakulipe wewe baada ya kutafsiri vinginevyo watataka uwalipe hela ndefu ambayo wewe na mdhamini wako hamuwezi kuipata.
Malipo yanaweza kuwa ya papo hapo(baada ya kutafsiri) au ukawa unapata asilimia fulani(let say 40%) kutokana na mauzo ya kopi za kitabu hicho ulichotafsiri(hii ni bora maana unaweza lipwa hadi unakufa)
Watembelee east Afrika publishers,Macmillan,Mkuki na nyota au Longman publishers utaweza kujifunza mengi maana wao wanafanya hiyo kazi ya kutafsiri vitabu vya kugha za kigeni to swahili.
Note:unabidi uwe competent wa kiswahili na kiingereza na pia huwe na na elimu ya kutosha kuhusu translation and interpretation(unaweza kupimwa kabla ya kupewa kazi)
Kila la kheri.
Kesi nyingine?
Mkuu hao mkuki na nyota si hua wanachapa vya waandishi wa humu?? Nataka vya waandishi wa njee ya Tanzania..
So ninawasiliana nao vipi hao waandishi! Let say Nataka kutanslate Da vinci code je inanibidi niwasiliane na Dan Brown? ?? Nimwombe anipe kazi ya kuwa natafsiri kazi zake???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,632
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,632 2,000
Ahsante sana mkuu kudo kwa ushauri.. Lakini mimi nilitaka tu maybe nachukua soft copy ya kitabu fulani then nakitranslate. Kisha nakichapa then nnakitoa kikiwa na jina la mwandishi kama kawa.. ila utafauti itakua kwa lugha ya kiswahili.. Je unaushari zaidi??

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Iwe soft copy au hard copy bado suala la umiliki ni la msingi sana.
May be unaweza kuruhusiwa kirahisi zaidi kama unakiingiza kwenye mitaala ya elimu ila si kwa ajili ya biashara.

Kuhus mawasiliano lazima ujuwe wakati huo unahitaji kuwasiliana na mhusika ni nani anakimilki.
Mfano: naeza andika mimi riwaya lakini ukainunua yote (haki zote ukawa nazo wewe na mimi nitatambulika kama mwandishi tu ila wewe unakitumia utakavyo)
Lakini pia tunaposema haki miliki inamaana ukinunua nusu ya haki, ndo kama hivyo unapewa mkataba namna ya kutumia hiyo haki uliopewa na si zaidi ya hapo, lakini heshima ya mtunzi inabaki palepale.
So lazima ujue kabisa kununua haki hiyo ili ufanyie kazi itakugarimu pesa nyingi sana, pengine kuliko ulivyoota wewe.

Ila rahisi kwako, watafute wahusika waombe utafsri kwa kiswahili, kisha wakulipe vile mtavyoelewana....

Nadhani umeelewa sasa,.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,346
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,346 2,000
Ila rahisi kwako, watafute wahusika waombe utafsri kwa kiswahili, kisha wakulipe vile mtavyoelewana....

Nadhani umeelewa sasa,.
Good sasa hapo ndio nilikua nahitaji.. je nawapata vipi? Kama una hints waweza kunipatia nisaidie please

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,632
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,632 2,000
Good sasa hapo ndio nilikua nahitaji.. je nawapata vipi? Kama una hints waweza kunipatia nisaidie please

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mara nyingi zaidi angalia publisher wa kitabu husika, kisha wasiliana nae, kwa email alizoweka, yeye anaweza kukusadia kukufikisha kwa wahusika
 
Forum statistics

Threads 1,325,437
Members 509,127
Posts 32,192,534
Top