Utasubiri sanaMnafiki Mkubwa wewe. Subiri Katiba Mpya inakuja
Mbowe hawezi kumfundisha mtu chochote chini ya hili jua. Labda kuibaNani kakwambia siasa ni Elimu?? Uwezo wa kujenga hoja, principle za kumshawishi, kuchagua kauli, kumobilize, negotiate n.k hayo hufundishwi darasani kijana.
Matiko naye alichukuliwa UDSM kafundishwa siasa.
Zubeilda pia alikua Mzumbe anaandikia wabunge hotuba/michango Mbowe kamchukua kamfundishw siasa. Same to zitto, Silinde, na kafulila so hakuna product ya vijana wa upinzani unaowaona Leo ambaye Hana mkono wa Mbowe.
Huko CCM hamna hao vijana ndio maana wakitoka huku mnawapa uwaziri na uRC!!! alafu unataka kudown play uwezo wa Mbowe?
Angekua failure mngekubali kelele zake za Katiba mpya?? Mngemuita meza moja?? Mbona hamjamuita Professor Lipumba au Mbatia kwa meza??Mbowe hawezi kumfundisha mtu chochote chini ya hili jua. Labda kuiba
Mbowe ni form six failure
Wewe jamaa huwa sikuelewi kabisa, kwanini usiungane na CCM wenzako kuunga mkono hao covid19 ???Covid 19 ni majambazi wa kodi za Wananchi
Kamanda zungusha ngumi mbili tatu hewani basi kusindikiza hili andiko lakoKwani katishwa na nani? Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA ya nchi, Mdee & Co wanapambana na CHADEMA katika eneo la kisheria kuhusu uhalali wao pale Bungeni.
Mahakama imetoa uamuzi wa kutupilia mbali pingamizi lao siyo CHADEMA mjusi wewe.
'Mungu katuamulia ugomvi'.
Tulia bwana kunguni dawa ikae mahala husika.Covid 19 ni majambazi wa kodi za Wananchi
Kima na mbwa tuone yupi mwambaAcheni kujificha kwenye uanawake. Mbona kwa akina Zitto, Mwigamba na Kitala hamkusema ni wanaonewa kiss wanaume. CHADEMA haicheki na kima.
Chuo gani?Halima ni shujaa hata hivo tangu chuo ni mwanamke asiyeyumbishwa
Ultra sound vp?Sukuma gang ni hatari sana kwa usalama wa nchi hii
Mzee kingunge akili yote alimuachia mbowe na Lissu, unategemea mbwa wasimbadilikie?Labda amesahau kuwa Kada wao Mzee Ngombale alishambuliwa na Mbwa anaowafuga.
Lipumba hajaitwa kuzungumza na raisi?Angekua failure mngekubali kelele zake za Katiba mpya?? Mngemuita meza moja?? Mbona hamjamuita Professor Lipumba au Mbatia kwa meza??
ImesharudiBinafsi hii kesi,irekebishwe irudi mahakamani waende wakabishane kwa hoja,hatimae mwenye haki apate haki yake
Wakina Halima ni kama wamekosa support ya jamii,wakionekana kama wachumia tumbo,waliokosa muelekeo,wenye hofu ya maisha kwamba wataishi vipi wakikosa posho za kibunge.
Kumbe usikute haipo ivyo,mahakama ikiamua itajulikana ukweli upo wapi...na sio kuiprolong
Wakina halima kama dada zetu,mama zetu wanaopambania haki zao na kulipigania taifa kwa michango wanayotoa bungeni,kama jamii tungependa kuona wanawake wengi wapo hivyo,katika taifa kama hili ambapo idadi ya wanawake ni wengi lakini katika nafasi za uongozi wapo wachache lakini pia wanaopigania haki zao pia wapo wachache.
So taifa kupata watu kama wakina mdee ni hatua nzuri tusi wakatishe tamaa,warudi mahakamani wakapambanie haki yao,kama kweli haki ipo upande wao ipatikane na jamii ifahamu,kama haipo basi ionekane haipo
Hiyo kauli ya mbwa aliowafuga ataikumbuka tu huko mbeleni!Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Ukifukuzwa chama unatoka. Akitaka ubunge kuna njia mbili zingine, either amia chama kingine au anzisha chama chako, also you can be the bossKusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Yupo strong kwa sababu yupo chadema, mind itMdee utamfananisha na nani huko chadema?