Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.

Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.

Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.

Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.

Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?

Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.

Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo

#kazi inaendelea#

View attachment 2270753
Duh! JF imeingiliwa. Huyu hapa kaandika nini cha maana? Kwake, mtu kusema sitishiwi na mbwa, anaona tayari ni habari. Hopeless kabisa.

Kurupoka, mtu yeyote anaweza, ugumu upo kwenye kunena jambo la maana, jambo lenye mantiki na lililo na nguvu. Kuropoka, unaweza kuropoka chochote. Marehemu.aliwahi kuropoka kuwa sisi ni donor country, he, tumekuwa? Aliwahi kuropoka kuwa sisi ni nchi tajiri, tumekuwa? Aliwahi kuropoka kuwa akifa akawe kiongozi wa malaika, tunaamini kuwa imekuwa?

Tujifunze kutamka vitu vya maana, vitu sensibe.
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Maneno yako ni ya kuwadhalilisha wanawake. Unamaanisha nini unaposema, 'mnapambana na wanawake'? Wanawake siyo watu kama walivyo wanaume? Wanawake hawana akili kama walivyo wanaume? Wanawake hawawezi kuwa waovu, sawa walivyo wanaume?
 
Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.

Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.

Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.

Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote.

Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?

Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.

Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo

#kazi inaendelea#

View attachment 2270753
20220619_122511.jpg
 
Atapata washabiki wa kinafiki wengi. Jana wanakuvunja mkono leo wamekuelewa😂😂
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
Tunapambana hata na kuku na ndiyo shuhuli tuliyoichagua usitufundishe kazi.
 
Sifa za mtu kuwa mbunge. Ibara ya 67 (1) (b) Ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama Cha siasa. Kama Hawa wabunge 19 hawakupendekezwa na chama Chao ni dhahiri kuwa wanavunja katiba na sheria za nchi; lakini tukumbuke kuwa siasa haina rafiki Wala adui wa muda mrefu na kinachoangaliwa kwenye uringo wa siasa kwa kiasi kikubwa ni maslahi binafsi na si vingnevyo.
 
Mashujaa ni kina zitto wamesepa wakaanzisha ACT hao tunawaita big brain,king'ang'anizi tunamwita chawa...
 
Hivi mbona wale wa CUF hawakupiganiwa na Spika kama afanyavyo Kwa hawa?

Lipumba alimuandikia barua Spika Ndugai(wakati huo Ndugai alikuwa India Kwa matibabu),akampa taarifa kuwa amewafuta uanachama wabunge wa CUF,kesho yake Spika akiwa India,akaitumia barua NEC kuwa nafasi ziko wazi!Siku iliyofuata NEC ikapeleka majina bungeni ya wabunge wa watakaochukua nafasi!
Pamoja na Wabunge wa CUF viti maalumu kwenda mahakamani lakini mchakato ulichukua siku 3 kukamilika!Yaani kuanzia Lipumba anafukuza mpaka wengine kupatikana,ilichukua siku 3!

Kwanini wao hawakutetewa?
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?
ccm ilipomfuta uanachama Sofia Simba je alikuwa mwanaume?
 
Kwenye hii kesi alichofanya Halima na wenzake ni "to buy time" wanajua kuwa watavuliwa ubunge but sio kwa kuondolewa bungeni kipindi cha budget, walisoma nyakati wakaona bunge la budget linakaribia kuisha hivyo wakate rufaa kimakosa, hukumu itolewe kisha wakate tena rufaa, na hapo muda utakuwa umekwisha na hivyo wataondolewa wakiwa Out of Parliament, na hivyo haitosound sana kama wangetolewa wakati bunge linaendelea.
 
Back
Top Bottom