Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Halima Mdee wewe mwache 2015 ndo atamjua Mrs Babu manake anavyolitamani jimbo lake
 
hoja yake niyamsingi sana !ila tuangalie hata kama mnamkosoa mtu aliekosea kwa lugha kama hiyo ata kujibu vipi ?
nadhani kuna haja ya kuwa makin katika kumatumizi ya lugha!!!
 
Ulitaka aitaje direct jf, ili magamba yaanze kuisakama tena?
 

Bubu Msemaovyo, Mganga Wa Kienyeji sio alioandika Mdee V/S Jamiiforums. Angalia Vizuri hiyo thread. Yeye ameeandika hii thread inayoendelea sasa hivi.
 
Halima Mdee anaitaji pumziko la nafsi ndiyo maana anapenda kuropoka ovyo.
 

Mkuu una hasira sana!! Tulia kidogo halafu soma tena kabla ya kuanza kujibu hoja!! labda nikusaidie manake unaonekana umeanza kujichukia. Point yangu kubwa ni kukemea hiyo lugha inayotumiwa na wabunge wa CCM na CHADEMA!!!!! na wenye hukumu yao ni watanzania kama mimi muarobaini mchungu 2015!!!! Kama umezoea kufikiri kwa kutumia M*kalio (kama mawazo yako yanavyosema) basi nadhani upo hadharani na unajisadia bila kujua ukidhani umekaa!!!! Mimi sijalewa Chademaquine wala Ccmquine!! natoa hoja kama M- TZ huru tu (Muarobaini Mchungu). Nakushauri tu kama hizo C-quines zimeshakudhuru basi jaribu na muarobaini akili yako itakaa sawa tu!!! Sipendelei kukuita KILAZA kwani naamini baada ya muarobaini huu utakuwa umezaliwa upya na kufikiri kwa kutumia akili angalau hizo kidogo ulizonazo!!! napita tu....
 
Kuna gazeti lilishawahi kuandia taarifa za GMO +madhara yake nikajua serikali itakataza hiki kitu hapa Tz kumbe wamekuja kukubali tena? Hivi hawa viongozi ni kwamba wamekata tamaa ya maisha au 10% au uwezo mdogo wa kuelewa au ni ni haswa?
 
kabla huja mlaumu Mbunge wetu, hebu tafuta majibu ya haya maswali.
kam Halima ni member wa JF, huwezi kuona kwamba inawezekana yeye ndio aliianzisha mada na akaanzia JF then kaipeleka bungeni??

Pia, je kma kuna Member mwingine wa JF ndio kaichukua kwa Halima na kaiweka humu??
 
mdee ametoa hoja nzuri ila ameiwasilisha kwa lugha mbovu ..inaweza kuwa sababu kubwa ya hoja yake kutotiliwa manani.
Matumizi ya lugha huwa yana mtafsiri mtu alivyo na tabia yake.
 

Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?

-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.

-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister

-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa

-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu

-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi

Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
 
Unataka tujadili nini hapa sasa??mtoa mada!!!!!??
 
Si sahau kamwe ile siku alienda kufungua half complete bridge sijui Mtwara vile. Ndugu watanzania tumuheshimu Rais, uhuni tufanye mitaani bana.
 
Halima Mdee wewe mwache 2015 ndo atamjua Mrs Babu manake anavyolitamani jimbo lake

kama nakuona hivi,unavyojitahidi mpaka kuomba eti cdm isambaratike,unatia huruma ndugu yangu....
 
ngoja waje wabeijing apa usikie, et choo cha kike, ina ladha ya utusi tusi
 
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike

Haya ndio mambo nnayataka kutoka kwa Wabunge wa CHADEMA na ndio maana halisi ya kuwa Mpinzani Bungeni.

Sio mambo ya kubishana nani GAIDI na nani sio ? Hii ilitakuwa iwepo kwenye hotuba ya Kiongozi ya upinzani Bungeni. Sasa mnatakiwa kwenda kule madhara ya hizo mbegu yalikopatikana na kuifungulia serikali mashtaka..

Bravo Mh Halima Mdee !
Lugh uliyoitumia ni nzuri sana na Nimeipenda sanaaaa....
 


Ni vizuri na wewe ukatusaidia wengine kutueleza huyu ni Naibu waziri yupi?
naona na wewe umerukia kumponda huku wengine tukibaki hatuwaelewi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…