Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'


Sema wewe Mvumbuzi umevumbua hiyo labda watasema huhitaji kutoa credit. Wengine tutaambiwa tunahitaji credit hata kukohoa sasa.

Kusema kweli, mie sioni lalamiko la msingi hapa.

Mkiniambia Kigwangalla ka plagiarize kitabu kuhusu Korea, katafsiri tu maneno kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili kama kamanda Companero alivyomkamata, then nitaelewa na kuunga mkono kampeni dhidi ya plagiarism.

Mnamlaumu mtu hajatoa credit Jamii Forums wakati Jamii Forums penyewe si kwamba mtu kachabanga mambo mwenyewe? Na yeye katoa sehemu nyingine?

Huu uroho wa credit unatoka wapi huu?

Kwamba hili jambo limekukereketa na kuna mbunge kalifikisha bungeni haitoshi? Unataka credit? Kwa copy paste yako?
 
Duh!! naona una kazi maalumu ya kumfatilia Ben Saanane.
Sina muda na sababu ya kumfuatilia kwa sababu hata simfahamu na hata yeye hanifahamu. Lakini mtu akipita kwenye anga zangu lazima apate kile alichokifuata.

Tuko hapa JF kupashana habari, kuelimishana na ikibidi, kujenga urafiki wa kweli kwa manufaa si yangu au yako tu, bali pia kwa taifa.
 
Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.

Ni kweli huyo jamaa ni member kwenye forum nyingi.Nilimkuta political forum ya US kwa jina la Lin***n na jinsi alivyokua akichangia sikujua kama ni mbongo hadi nilipojichanganya na yeye kuingia mtegoni.Hata ghananation ya ghana yeye ni member kwa jina la....
 

Lol...hata www.ghanaweb.com yupo.
 
namshauri ritz aende akainvest usa apeleke hizo mbegu kwa kuwa yeye ni invester wa nguvu watampokea
 
Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.
Nyani Ngabu , Lugha ninayoongea niya ki-Bariadi Bariadi, sisi hatubahatishi pamoja na kwamba tuna sifa moja ya ubishi.

Kwa hiyo anataka kusema katika hizo Forum ana majina mbali mbali hata katika forum moja.

Bora tu akakaa kimya kuliko kuanza kuleta utetezi wa kitoto kitoto kama walivyo wanasiasa uchwara wengi wa Tanzania.

Sibahatishi.
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe umefika, haya mambo ya kutegemea kila kitu kitoke nje ni ukoloni mamboleo...
 
Well done Mdee, hao jamaa ni kimeo hata ukijaribu ku-google unapata ufisadi wao, pamoja na kukuwa kwa kasi TEKHOMA hivi rais wetu ataendelea kudanganywa mpaka lini?

Viongozi Imara eti Wako CCM... Hivi kauli yao mbona inawasuta kuwa wao Ni DHAIFU KIFIKRA...
 
Mkuu , Nyani Ngabu , Nafikiri utakuwa unayasoma haya maelezo ukiwa kichwani mwako na ule usemi maarufu wa Mwl. Nyerere aliposema "Mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali, huyo mtu atakudharau sana."

Je, jiulize huyu anayekuambia kwamba Ben Saanane ame hint kwamba huyu jamaa (Ben Saanane) yuko hata kwenye forum za ghana ni nani. Na kwa nini Ben Saanane amweleze yeye wakati aliyeleta hii issue ya plagiarise ni mwingine.

Unafahamu kuna watu hapa JF wanatufanya kama sisi ni wajinga.
 
Last edited by a moderator:
Hoja hoja tu kwani ukiongea ujinga kwa maneno ya busara ujinga huo unageuka busara ndo matumizi ya lugha hayo. Ya selukamba
 
Choo cha kike kwa tafsiri ya Mh Rais kama mwanaume kaenda wrong direction...Not Hii mbaya sana
 
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike

hakuna aliyedharau hoja labda wewe, hii huitwa lugha ya picha kumfanya msomaji kupata uelewa halisi lakini haimfanyi rais aingie choo cha kike
 
kweli bana hawa wabunge wanatumia mno lugha isiyo na staha, jamani sio utamadunni wetu kukosa staha kwa watu na hasa walikuzidi umri. Halima unaongea na watanzania wote, including your parrents! what my kids can learn from you Dada! CDM tunakosea sana na chama kinapaswa kuwajibikika hapa, sasa tofauti yako na Lusinde nini nini! haaaaaaaa! this is pathetic!
 
Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.
Duh, Kwa hiyo Ben Saanane ni member katika makumi ya forum na pia mwandishi wa article za habari mbali mbali hapa duniani,
Kwa hiyo na hapa ni member alipoandika hivi, kwenye thread hii,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-karibu-na-ludovick-joseph-2.html#post6113149

Wakati haya maneno yanatoka hapa,
Haya maneno yanatoka hapa,
Comically Small Bribe - Television Tropes & Idioms

Hata hapa pia ni yeye, kumbe Ben Saanane ni mwandishi wa habari za Nigeria!! Soma hapa pia,
Hizi phrase zinatoka kwenye hii thread,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...st-african-community-is-over.html#post6104753

Lakini hizi phrase zimepakuliwa kutoka hapa,

Hizo phrase zinatoka kwenye article hii hapa,

Nigeria lacks good leaders – OBJ

It goes on and on kama ukifuatilia mabandiko yake ya kiingereza.
Huyu Ben Saanane ni plagiarizer mzuri kweli kweli kwa wajinga fulani hapa JF lakini tunajaribu kuwa kimya ili mwanaharamu apite. Tatizo mwanaharamu akipita anaanza kurusha maneno ya kejeri.
 
Last edited by a moderator:

Mabinti wanapata mimba kwa vihelehele vyao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…