Mdau mwenzetu W. Malecela anapodhalilishwa na vyombo vya habari tumsaidiaje

@Maane,

Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.
 
Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.

Sidhani kama kipo alichokikimbia, ila kama hujitumi ughaibuni bila shaka hata hapa utakuwa mzigo kwa taifa!
 
Kuna alichokikimbia hiko vinginevyo asingerudi na kuhangaikia kutafuta nafasi za uwakishi wa vitogoji jumuiya ya wazazi.

Hivi kule ana uraia? Kikimbia States uje huku vinginevyo iwe very high benefit sijui ni nini? Aombe Dual Citizenship ifanye kazi Tz!!!!
 
Yaani yeye ndo kafanya hayo afu mnavilaumu vyombo vya habari! JE WALIMKAMATA WAKAMLETEA HAO MABINTI WAKAMUWEKEA BASTOLA KICHWANI KISHA WKAMLAZIMISHA ATABASAMU WAKAMPIGA PICHA!!???????, AU HIZO PICHA ZAKE WAMEZIPATAJE????

Nisingekua natumia phone ningekugongea like ya hatariii mkuu
 
waandishi wa sikuhizi wamekosa habari za kuandika ... inawezekaa mwandishi ni member wa humu JF .. "shame on you Sifael Paul"
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.

Kuna kona nyingine hapendelea kuingia ovyo sijui kwa nini.
 
Ngoja aje hapa na alivyo bingwa wa kulipuka sijui itakuaje. Lakini me nashangaa namna RiziOne anavyo mshinda akili. RiziOne anawekeza though kwa magumashi. Huyu jibaba anauza sura.

Sasa Kama Hana cha kuwekeza zaidi ya sura yake afanyeje?
mnamuonea hendisamu wa Jiji na mabebzzz aw ukweeeeh
 
Small brains zinamatatizo. Hayo ya uwakilishi waachieni wanaomchagua ndio wanaojua value zao, not us. Lakini wanodai yeye sio baba yake in majuha, you can not detauch from baba yako. Hili in la msingi kwa Kuwa Lina define wewe no nani. Basi tungekua tunataga Kama kuku, na ndi maana linabaki Hutu Kweli ni mtoto aw baba yake? Mbona hafanani na wenzake?
 
William are you going through Male Menopause? Why the itch to take photos with all these women? I think it will hurt your Political career in Tanzania not help it.:director:
 
WIVU unakusumbua
 
we agent wake nini? yeye mwenyewe anafurahia, angalia post zake za nyuma akijisifia kupiga picha na warembo na kula maisha.

mwambie akafungue kesi kama ile ya wale waarusha waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya Lema kwakuwa Batilda ametukanwa
 
Like father like son ! ndio maana Nyerere alipoteza imani na baba yake.
 
me naomba kuuliza..je LE MUTUZ anafanya kazi gani??manake kila saa lazima aposti kwenye wall yake LE MUTUZ STRAIGHT TALK na wale wabebs wake...kama vipi bongo nomaaa...ndo maneno yake ss sielewi kazi yake hasa ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…