mdau afanikishe TV SHOW hii na awe mmiliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mdau afanikishe TV SHOW hii na awe mmiliki

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Doyi, May 21, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  habari za kazi wanajamvi.
  kuna mdau anatafuta mfadhili ili amuwezeshe kufanya record ya kipindi cha television kinachohusu masuala mbalimbali ya kijamii,mienendo yetu na namna ya kubadili ili kuwa na jamii yenye mtazamo chanya katika masuala mbalimbali ya kijamii.alirekodi mfano wa kipindi utavyokuwa(DEMO) na akapeleka katika baadhi ya makampuni wakaikubali idea yake ila ile DEMO ilikuwa na kiwango cha chini kwa kuwa aliwatumia hawa mashooters wa mtaani wenye vifaa duni .sasa anaomba mdau yeyote amwezeshe kurudia kurekodi demo aidha awe na studio ya kurekodia au amfanikishie suala la gharama za kurekodi upya.
  NB:HAITAJI KUPEWA FEDHA MKONONI ILA ANACHOHTAJI HYO FEDHA IPELEKWE PANAPOHUSIKA yeye afanye kazi yake.atakaefanikisha hilo atakuwa mmoja wa wamiliki wa hyo TV show kisheria.kwa mawasiliano zaidi na kama kuna lolote la kumuuliza.mawasiliano yake ni 0717478451 au 0713986635
   
Loading...